Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

nyie mashoga endeleeni kujifariji nani anawataka nyie hata hela ya toilet pepa ya kuchambia hamna mfyuuuu !
Ungejua ninavoipenda avater ako adi naiota nakupenda sana hujui tu sema uzi nlimqoutes tofauti mkuu
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
Hatari sana mkuu.
 
Hayo yote uliyoyaeleza hapa ni yale ambayo mnayapenda nyie wanawake... Unapokuwa nadhifu...kuanzia nguo zako za ndani hadi harufu yako ya nguo na mwilini....kunakuongezea muonekano mzr na umaridadi wako..pia...hakuna mwanamke anayempenda mwanaume mchafu...asiyejipenda.....kuanzia unapolala...mpaka nguo zako....siri kubwa ya kuwanasa wadada uwe unajipenda...simaanishi kujikoboa uso kama mkongo.au kuweka nywele dawa..hapana....nina maana uwe msafi tu.na ujuwe kupangilia nguo tu....yale mambo ya KUNUSA CHUPI ndy uivae UACHANE NAYO..au soks moja mwezi mzima unavaa hiyo.. Tena mbele umeifunga fundo..ukivua kiatu kama kafa panya. CHUPI ULIYOVAA.. Haieleweki ni BUKTA AU BOXA..hayo mambo yatakukosesha mpzn wa maana..hata kama una pesa ni bure...atatafuta mwenye mwonekano mzuri atatumia nae....na sio uwe msafi wakati wa mtoko tu..hapana..unapaswa uwe msafi muda wote..hata kama upo home...tena wadada wanamchezo wa kukushtukiza ili akujuwe kama unakuwa msafi muda wote au unakuwa msafi mkiwa na ahadi tu au mkiwa na mtoko..inapaswa uwe smart....kila msichana akikusogelea anasikia harufu tofauti zinapishana..KOROUS..... Joop..XS PACCO zinapishana tu....mambo ya MANUKATO na kujipenda kutakuletea mtoto mzr sana na anayejielewa...wapo watu wengi wanapesa zao lakini wanafell ktk mapenzi sababu ya kutokujipenda na
..kutokuwa na mpangilio wa uvaaji..unakuta mtu haeleweki ananukia nn? Dawa ya mende...au maji ya kabichi..au ananukia kitu gani? elewa UMARIDADI UNAFICHA UMASIKINI..Na hayo aloyasema huyo dada hayapendi ndy wanayovutiwa nayo..wanawake
Pia unaweza ukawa sio HANDSOME MAN
.Lakini how you dress will make you look more than handsome man...huyo dada ameongea hvyo sababu aina hyo wa wanaume ndy wanapendwa sn na wanawake na ndy wanaowaumiza mioyo yao.na sio kweli kama hawapendi wanaume wanaojipenda....
Sababu wanakuwa na wanawake wengi mno..hawajuwi kumpenda msichana..pia huwa hawahongi MAPESA..kulinganisha na wanaume wasiojipenda WANAHONGA SANA
.Kuliko maelezo..
 
Mh! Mtoa hoja unatushauri sisi wanaume tuwe rafu & tutoe harufu ya kikwapa, labda ndicho unachokipenda wewe na sio wanawake wote.
 
Kabla ya yote..Picha haihusiani na story ni mfano tu wadau!

Mungu alituumba wanawake na roho nyepesi na huruma sana, tupo simple sana sema wanaume mmefanya dunia kuwa sehemu ngumu ya kuishi.

Niwapeni siri, wewe mwanaume hata uwe tajiri kiasi gani na hela za kuhonga kiasi gani kama wewe una sura nzuri halafu unapenda sana kupigilia pamba yaani ile unajipenda penda sana ni nadra sana kupata mwanamke makini wa kukupenda na kukufurahia hata uwe bilionea wanawake wengi tunapenda wanaume wenye sura isiyoelezeka na anaevaa kiume standard. Standard namaanisha kama ni kazini utamkuta na nguo za kazini za kawaida shati safi mikono mirefu kachomeka na kiatu cha kudumbukiza fresh.

Siku za kawaida jeans na tshirt na raba au sendoz, mwanaume anaenukia marashi yake kwa mbaali plus kikwapa cha mbaali hadi nyege zinakupanda si mnajua tena kwapa la mwanaume linamtoa nyoka pangoni? Na nywele zake kazinyoa tu kawaida.
Siku hizi nashangaa unakutana na mwanaume kajilipualipua unajiuliza huyu akifumaniwa anaanza kuvaa nini?
17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n-jpg.492777

Yaani kaka zangu na wadogo zangu nawaambieni kama wewe ni mzuri jua tu mkeo au mpenzi wako yupo mahali anakojoleshwa na mwenye sura ya kiume. Wanawake ndo tulivyo tunapenda wanaume wenye sura mbaya na waliokaa rafu ili hata nguo tuwanunulie wenyewe na kuwapendezesha wenyewe. Mwanaume unajua kujipendezesha kila kitu unajua wewe kuvaa na kunukia ni ngumu kwa kweli utasaidiwa sana hata kama hela unayo.

So ni hivi acheni ndevu ziote ote acheni kulala saluni na harufu ya vikwapa tuisikie.

Tumia neno sipendi wanaume... Na sio wanawake hatupendi wanaume....we ndio umekuwa msemaji wa wanawake wote duniani mwanamke mwingine hajali mwanaume uwe mzuri au mbaya yeye anapenda mkia wa mwanaume tu kila mtu ana chaguo lake wewe kama unapenda wenye magovi na sio mtanashati umechagua wewe
 
Mh! Mtoa hoja unatushauri sisi wanaume tuwe rafu & tutoe harufu ya kikwapa, labda ndicho unachokipenda wewe na sio wanawake wote.
Acha kubishana na wenyewe! Mwanamke ameshakuambia nini wanachotaka wewe unazidi kubisha, kwani we ni mwanamke!? Au unajua zaidi wanachohitaji kuliko wao wenyewe? Please shut up and let's hear from them what they want from us.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Leo nimeamini kuwa wanawake ni viumbe visivyoeleweka...kuna thread ililetwa na mwanamke ikizungumzia wanaume wasiojipenda na akawa ana wakandia balaa..sasa hivi nasoma kitu kingine kwa mwingine..kweli mwanamke ni kiumbe kigumu sana kukiridhisha..
 
Exactly I know what l'm saying. Sorry if you are of that kind.And of course I gave my own comment.If you are less concern better keep silent.
 
On my second date....alikuja home. Nilienda kumpokea stand ya daladala alinikuta hivi....tishert na surual fulani hv nzito kama trucksuit na sandal....nna ndevu za sku 5 sijanyoa....hahaha. Ile track yangu nikaipandisha kidogo mguu wangu wenye unyoya ukawa unaonekana......akasepa...baadae akaniandikia.....babe una mguu mzuri wa kuvaa pensi. Halafu uko simple nimezoea kukuona na masuit suit kumbe unajua kuvaa kimtaa mtaa....sio complicator. Nilijua ntakukuta umejipigilia manguo makali....nikacheka tu.

By the way nna sura ngumu pia.
Mabishoo acheni ujinga wenu
 
Kabla ya yote..Picha haihusiani na story ni mfano tu wadau!

Mungu alituumba wanawake na roho nyepesi na huruma sana, tupo simple sana sema wanaume mmefanya dunia kuwa sehemu ngumu ya kuishi.

Niwapeni siri, wewe mwanaume hata uwe tajiri kiasi gani na hela za kuhonga kiasi gani kama wewe una sura nzuri halafu unapenda sana kupigilia pamba yaani ile unajipenda penda sana ni nadra sana kupata mwanamke makini wa kukupenda na kukufurahia hata uwe bilionea wanawake wengi tunapenda wanaume wenye sura isiyoelezeka na anaevaa kiume standard. Standard namaanisha kama ni kazini utamkuta na nguo za kazini za kawaida shati safi mikono mirefu kachomeka na kiatu cha kudumbukiza fresh.

Siku za kawaida jeans na tshirt na raba au sendoz, mwanaume anaenukia marashi yake kwa mbaali plus kikwapa cha mbaali hadi nyege zinakupanda si mnajua tena kwapa la mwanaume linamtoa nyoka pangoni? Na nywele zake kazinyoa tu kawaida.
Siku hizi nashangaa unakutana na mwanaume kajilipualipua unajiuliza huyu akifumaniwa anaanza kuvaa nini?
17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n-jpg.492777

Yaani kaka zangu na wadogo zangu nawaambieni kama wewe ni mzuri jua tu mkeo au mpenzi wako yupo mahali anakojoleshwa na mwenye sura ya kiume. Wanawake ndo tulivyo tunapenda wanaume wenye sura mbaya na waliokaa rafu ili hata nguo tuwanunulie wenyewe na kuwapendezesha wenyewe. Mwanaume unajua kujipendezesha kila kitu unajua wewe kuvaa na kunukia ni ngumu kwa kweli utasaidiwa sana hata kama hela unayo.

So ni hivi acheni ndevu ziote ote acheni kulala saluni na harufu ya vikwapa tuisikie.
Daah umenigusa sana hapo positively, tutafutane basi
 
Kwa umri wako uko sawa kusema ivo,

Ila kwa wadogo zako walio chini ya umri kadhaa hawata kuelewa,
 
Back
Top Bottom