Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Hizo zote story mwanamke akiweza kupata bigg Orgasm akiwa na wewe ambayo stim yake ni kama stim anayopata mbwia unga wallah hata uvae gunia...yuko na wewe tuu.... Hata akufumanie mara elfu... Ye anasema nampenda hivo hivo
ushampa mtu orgasm wewew?
 
Ni suala la kisaikolojia zaidi. Mwanamke kuna vitu anahitaji kutoka kwa mtu anayemuita mume, kimojawapo ni ULINZI. That sense of being safe haipatikani kwa mwanaume wa kujiremba, sura nzuri na nyoro nyoro. Namna yako ya kuvaa na kuongea inaweza kumfanya mkeo aone kama anakaa na mwanamke mwenzake ndani.

Ni ukweli usiopingika kuwa, mwanamke hufurahishwa na ubandidu wa dume lake, kuanzia kwenye muonekano hadi kwenye mechi. Nyie jipodoeni tu kama wadada mkidhani mtapendwa kwa nguo zenu na manukato. Miss Natafuta leo umepiga ikulu

Team Sula ngumu tutawaona hapa
 
Mambo mengine ni mashauzi tu
hamna anayependa uchafu ila kwa mwanaume ukioga fresh ukapaka na mafuta yasiyo na chemicals u maintain ngozi ya asili na kuvaa normal ama standard, kuna shida gan?
Lakin mtu weekend yote unasuguliwa uso ukitoka hapo mtu unamuonea had huruma,.atahamia kwenye nywele apake dawa sjui...atatoka hapo ataenda duka la pamba kali ...surual za kubanaaa na vi t shirt vidogooo ...weekend hana time na mwenza wake...yeye anarembesha sura na kununua minguo ...duh
Una utani na mzee wa miwota(kigoc) nywele dawa, anatengenezwa kucha scrub ndo usipime.
 
Leo Nimevaa
Kioldskuld/kipapamafido kidogo maana swagga ni bongo ila hapa ni old.
8efb626dc613ed2c1ef7c33acad518ca.jpg
Kumbe kua umuhimu wa kuwa bonnyrapa aiseee

Aisee hii hali sasa naona inanichanganya sana, hivi tumefikia wapi Asprin?

Maana tunaenda kumalizia yanarudi mengine.

Numbisa na emmyta watakuwa walitudanganya.
 
Mwanaume ameumba kufanya kazi,kua mlinzi wa familia,mwanaumbe kukaza msuli mwanaume ni kuwamsafi kiaina ila isipitilize kwana utakuta wengine..mikono haina tofauti ya ya miss tz.msafi mpaka anakelaa
Akija kwangu nampa jembe au nyundo akafanye kazi ili ajitofautishe na mwanamke mlembo
Ndo maana siku hizi idadi ya mashoga imeongezeka kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na zama za nyerere na mwinyi..MWANAUME KAZI ndio mambo mengine yanafuate

Kwa hiyo kazi mpaka uponde kokoto?
 
sijasema usioge oga ila sio mwanaume unapaka deodorant,unapuliza tena body spray na pafyumu unanukia kuliko hata dada zako bna?
mbona kuna uzi flan ulisema unapenda wanaume wanao nukia
ukataja na Pafyum unayo penda!?
 
Haha so true ila asiwe rough sana mim sipend wanaume mabishoo sana unakuta mwanaume mzurii anavaa kitoz ananukia pafyum anamapoz flan hiv ya kulamba midomo na kushika katkat ya mapaja na kunyoa kiduku na macheni meeng yan nkiona mwanaume wa hvyo cjui namuonaje ata ctaki anisogelee
 
nkianza kufkilia vile wangu anataka nn ntakuwanga nafanya change kila siku,leo atataka nipige pamba tena nguo ananchagulia , kesho kaona mtoko wa rafikie uko normal, ananipa matambala nivae eti utakuwa powa

*only my mam ndo huwanga namuamini akinambie umependeza au no , huwa na change but you dadaz put u on deep trash [emoji35] [emoji35]
You put us in what!! Alafu bado uko nasi, kwahiyo wote tuko kwa hiyo deep trash right? Basi hamnanga shida.
 
All generalization is wrong

Sio wanawake wote wanapenda kama ulivyoandika hapo juu

Duu 'Vikwapa usikie'

Mi kwa kweli napenda mkaka msafi na mwenye sura nzuri japo awe na mambo/tabia za kiume

Kitandani haijalishi ni msafi au mchafu. Wapo watanashati kitandani wapo vizuri
Na wapo hao wagumu walio ovyo kitandani
 
Teh teh dada hicho kikwapa kinacho amsha genye vepeeee
 
True..Ah Ah Ah lianaume refu jeupe afu linajipenda sana suti kila rangi halivutii hata yan ukiliona no kusisimka kwanza utataman hata ukimbie ukidhan jini
 
Hizo sifa zilizltolewa nyingi zinapendwa na wanawake ambao ni ejigoo... mabinti wengi wanapenda akina kaka masharobaro,wanaojipulizia marashi,wanyoa vkduku etc.,wakishakua wakubwa tena baada ya kujeuhiwa sana,ndiyo wanaanza kupenda wanaume ambao siyo wakujiremba sana.
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
You can never satisfy a woman.
 
Back
Top Bottom