Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
- Thread starter
-
- #61
...kuchukua kwa nguvu sithubutu maana mamsapu ni 'graduate' wa Tae-Kwon do tena wa ule mkanda mweusi 🙁
...majuzi 'nilinunua' ugomvi bila kutarajia! kisa chenyewe kilikuwa;
...mamsapu kajijaribisha (bila mafanikio) evening dresses za kutokea usiku... baada ya masaa kukatika akaniuliza, " mbona nguo zangu hazinitoshi tena, nimenenepa?"... jibu langu lilikuwa ndio, ..weeeh!
...kuchukua kwa nguvu sithubutu maana mamsapu ni 'graduate' wa Tae-Kwon do tena wa ule mkanda mweusi 🙁
...majuzi 'nilinunua' ugomvi bila kutarajia! kisa chenyewe kilikuwa;
...mamsapu kajijaribisha (bila mafanikio) evening dresses za kutokea usiku... baada ya masaa kukatika akaniuliza, " mbona nguo zangu hazinitoshi tena, nimenenepa?"... jibu langu lilikuwa ndio, ..weeeh!
Swali lina assume kuna vitu fulani wanawake wote hawapendi, which is not true. Wanawake ni individuals na si ma-borg, wana individual likes and dislikes.Sasa inabidi ufafanue unaongelea wanawake gani, na hata katika kundi fulani kunaweza kuwa na tofauti.
BLUERAY,
.(zile tabia au mambo ambayo yanatawala zaidi kwa wanawake wengi)
BLUERAY,
Swali si gumu kama unavyotaka kuliweka.
Kinachotakiwa ni kuonyesha dominant charactors.(zile tabia au mambo ambayo yanatawala zaidi kwa wanawake wengi)
wanawake mara zote hawaeleweki wanapenda nini depend on the wind direction,so dont trouble much thinking about their interests though they differ slightly.BUT SOME of the common ones are wanapenda kuona unawajari na kuwahurumia kwa karibu zaidi ktk mambo yao.
Tatizo lingine huwa mnakosa uvumilivu that's why zinaishia kuolewa ya mdomoni dada angu! Hata kabla ya kufunga ndoa huwa kuna malengo fulani yatimie ndipo ndoa ifungwe! Sasa kabla hujaolewa tayari unajiona ndo queen "kichwa hicho" in my palace that why nyingi zinakuwa za mdomoni! Umetangaziwa ndoa tulia basi kisha watch the move kama haileweki kula kona!We iteite lya kitee nani kakuambia wanawake wanapenda kuolewa, sisi tunachopenda ni mapenzi ya kweli mtu akujali, akuheshimu na akusikilize kuolewa ni poa kama mtu anakufanyia hayo yote siyo kuolewa ya mdomoni , nitakuoa nitakuoa maneno yanaambatana na vitendo wengi ndo tunapenda we wa wapi?
Tatizo lingine huwa mnakosa uvumilivu that's why zinaishia kuolewa ya mdomoni dada angu! Hata kabla ya kufunga ndoa huwa kuna malengo fulani yatimie ndipo ndoa ifungwe! Sasa kabla hujaolewa tayari unajiona ndo queen "kichwa hicho" in my palace that why nyingi zinakuwa za mdomoni! Umetangaziwa ndoa tulia basi kisha watch the move kama haileweki kula kona!
Stan,
Wanaume ndo wanasababisha wanawake wakose uvumilivu kwani wanaume wengi hawajatulia.
Swadaktaaaaaaa........
.....principles za mwanamke zinabaki pale pale ukiwa alosto hakutaki....
Si kwa wanawake wote,wapo kweli wengine ambao ukiyumba kidogo amekumwaga lakini wapo pia ambao uwe nazo usiwe nazo yeye hana shida kabisa, anachoangalia pale ni mapenzi ya dhati aliokuwa nayo kwako,na wale ambao ukiwa huna pesa anachapa mwendo jua alikuwa na wewe kibiashara zaidi lakini kama amekupenda kwa dhati hata kwenye hard time ataendelea kuwa nawe bila shida yoyote.
Hivi jamani tuwe wa kweli saazingine, mfano unakutana na mkasa kama huu...unakuta mke kajitolea kweli kwa mme kwa upendo wake wote. Siku ya siku mke kazi ikaisha akawa hana kipato...then badala hata ya mumewe kumjali au kushare naye anachopata pengine anapata mashahara wa 300,000 kumpa mkwewe hata 10,000 akajinunulie mafuta inakuwa shida, na hapo hapo anaspend unwisely hizo pesa (kwenye pombe, kununulia pengine gari n.k) hivi hata kama mke alikuwa na mapenzi ya kweli hapo kutakuwa namapenzi kweli?Si kwa wanawake wote,wapo kweli wengine ambao ukiyumba kidogo amekumwaga lakini wapo pia ambao uwe nazo usiwe nazo yeye hana shida kabisa, anachoangalia pale ni mapenzi ya dhati aliokuwa nayo kwako,na wale ambao ukiwa huna pesa anachapa mwendo jua alikuwa na wewe kibiashara zaidi lakini kama amekupenda kwa dhati hata kwenye hard time ataendelea kuwa nawe bila shida yoyote.
Hivi jamani tuwe wa kweli saazingine, mfano unakutana na mkasa kama huu...unakuta mke kajitolea kweli kwa mme kwa upendo wake wote. Siku ya siku mke kazi ikaisha akawa hana kipato...then badala hata ya mumewe kumjali au kushare naye anachopata pengine anapata mashahara wa 300,000 kumpa mkwewe hata 10,000 akajinunulie mafuta inakuwa shida, na hapo hapo anaspend unwisely hizo pesa (kwenye pombe, kununulia pengine gari n.k) hivi hata kama mke alikuwa na mapenzi ya kweli hapo kutakuwa namapenzi kweli?
Wanapenda kupendwa (mapenzi ya dhati) na kujaliwa (care).
Wasichopenda: Kudanganywa.