Wanawake Hawapendi nini?

Wanawake Hawapendi nini?

...kuchukua kwa nguvu sithubutu maana mamsapu ni 'graduate' wa Tae-Kwon do tena wa ule mkanda mweusi 🙁

...majuzi 'nilinunua' ugomvi bila kutarajia! kisa chenyewe kilikuwa;

...mamsapu kajijaribisha (bila mafanikio) evening dresses za kutokea usiku... baada ya masaa kukatika akaniuliza, " mbona nguo zangu hazinitoshi tena, nimenenepa?"... jibu langu lilikuwa ndio, ..weeeh!

Haya bwana.
Inaleta raha watu wanavyowaza.
Ehe?
 
...kuchukua kwa nguvu sithubutu maana mamsapu ni 'graduate' wa Tae-Kwon do tena wa ule mkanda mweusi 🙁

...majuzi 'nilinunua' ugomvi bila kutarajia! kisa chenyewe kilikuwa;

...mamsapu kajijaribisha (bila mafanikio) evening dresses za kutokea usiku... baada ya masaa kukatika akaniuliza, " mbona nguo zangu hazinitoshi tena, nimenenepa?"... jibu langu lilikuwa ndio, ..weeeh!

Jibu sahihi lilikuwa hapana hujanenepa hizo nguo ni ndogo tu 🙂
 
Swali lina assume kuna vitu fulani wanawake wote hawapendi, which is not true. Wanawake ni individuals na si ma-borg, wana individual likes and dislikes.Sasa inabidi ufafanue unaongelea wanawake gani, na hata katika kundi fulani kunaweza kuwa na tofauti.
 
BLUERAY,
Swali si gumu kama unavyotaka kuliweka.
Kinachotakiwa ni kuonyesha dominant charactors.(zile tabia au mambo ambayo yanatawala zaidi kwa wanawake wengi)
 
Mwanamke anapenda kupendwa na mwanaume wake. Si vizuri kwa huyo mwanaume kupenda mwingine, ni lazima ampe moyo wake wote. Amen.
 
BLUERAY,
Swali si gumu kama unavyotaka kuliweka.
Kinachotakiwa ni kuonyesha dominant charactors.(zile tabia au mambo ambayo yanatawala zaidi kwa wanawake wengi)

Kama unataka ku speculate na ku employ prejudice litakuwa rahisi.Lakini kama unataka kuwa objective ndiyo utaanza kusema wanawake hawapendi mtu asiye mmbea, kwa sababu wao wanapenda umbea.Au utaungana na Jay-Z hapa anapobwabwaja ovyo

"Male shouldn't be jealous, that's a female trait"
Jay-Z, Heart of The City (Ain't No Love)

Kwa hiyo kuwalundika wanawake wote katika kundi moja ni rather collectivist na kunawaondolea wanawake individuality yao, ni sawa na kusema "wanaume wanapenda michezo" hata kama wanaume wengi wanapenda michezo kauli hii bila kui-qualify inakuwa si ya kweli na inaleta picha potofu kwamba wanaume wasiopenda michezo si wanaume wakamilifu, which couldn't be farther from the truth.

Hata hayo tunayoweza kufikiri kwamba wanawake wanayapenda (kwa mfano, wanawake wanapenda watoto au kupika) inawezekana hawayapendi ki hivyo, ni mambo ya societal expectations tu na natural way of things kwamba mwanamke ndiye anayembeba mtoto kwa hiyo naturally anakuwa hana budi kuwa karibu naye naturally, ditto kwenye kupika, tamaduni zetu pamoja na mfumodume zimempachika mwanamke shughuli ya kupika na societal expectations zinamfanya mwanamke asiyejua/ penda kupika aonekane kama ana mapungufu.

Siku hizi tunaona career women wengi ama kwa kutingwa ama kwa kutokana na uhuru wanaopata katika career zao wanakataa hizi societal expectations zi wa define, kupika kunakuwa delegated kwa mfanyakazi au inawekwa zamu ya baba kupika/kuosha vyombo, especially for young couples.

Kwa hiyo hii dhana nzima ya kwamba wanawake wote/ wengi wanapenda hiki ni sehemu ya mfumodume usiotaka kuchunguza mambo kwa undani zaidi na unaopenda kutoa majibu rahisi kwa maswali ambayo uchunguzi wake utakaotufanya tupate majibu sahihi ni mgumu.
 
wanawake mara zote hawaeleweki wanapenda nini depend on the wind direction,so dont trouble much thinking about their interests though they differ slightly.BUT SOME of the common ones are wanapenda kuona unawajari na kuwahurumia kwa karibu zaidi ktk mambo yao.

unawajali
 
We iteite lya kitee nani kakuambia wanawake wanapenda kuolewa, sisi tunachopenda ni mapenzi ya kweli mtu akujali, akuheshimu na akusikilize kuolewa ni poa kama mtu anakufanyia hayo yote siyo kuolewa ya mdomoni , nitakuoa nitakuoa maneno yanaambatana na vitendo wengi ndo tunapenda we wa wapi?
Tatizo lingine huwa mnakosa uvumilivu that's why zinaishia kuolewa ya mdomoni dada angu! Hata kabla ya kufunga ndoa huwa kuna malengo fulani yatimie ndipo ndoa ifungwe! Sasa kabla hujaolewa tayari unajiona ndo queen "kichwa hicho" in my palace that why nyingi zinakuwa za mdomoni! Umetangaziwa ndoa tulia basi kisha watch the move kama haileweki kula kona!
 
Stan,
Wanaume ndo wanasababisha wanawake wakose uvumilivu kwani wanaume wengi hawajatulia.
 
Swadaktaaaaaaa........

.....principles za mwanamke zinabaki pale pale ukiwa alosto hakutaki....

Si kwa wanawake wote,wapo kweli wengine ambao ukiyumba kidogo amekumwaga lakini wapo pia ambao uwe nazo usiwe nazo yeye hana shida kabisa, anachoangalia pale ni mapenzi ya dhati aliokuwa nayo kwako,na wale ambao ukiwa huna pesa anachapa mwendo jua alikuwa na wewe kibiashara zaidi lakini kama amekupenda kwa dhati hata kwenye hard time ataendelea kuwa nawe bila shida yoyote.
 
Sawa MSINDIMA.
Lakini si upo ukweli fulani?
 
hawapendi kumchafua chafua, wanataka shughuli kweli kweli mnapokua kazini
 
TYPE OF SUPRISE FOR ENGEGEMENT RING
Salamu waheshimiwa na wachangia hoja katika JAMII FORUM na kwingineko.
Kwa kifupi nategemea kumvisha mchumba wangu pete ya uchumba hivi karibu kwa hiyo naomba mnisaidie hizo aina/tendo hilo kwa ajili ya kumfanya na yeye ashangazwe na hilo jambo maana si wote huwa wanavalishwa pete ya uchumba.
Nawashukuru sana na nnamategemeo mtanisaidia kwa hilo
 
progress.gif
 
Si kwa wanawake wote,wapo kweli wengine ambao ukiyumba kidogo amekumwaga lakini wapo pia ambao uwe nazo usiwe nazo yeye hana shida kabisa, anachoangalia pale ni mapenzi ya dhati aliokuwa nayo kwako,na wale ambao ukiwa huna pesa anachapa mwendo jua alikuwa na wewe kibiashara zaidi lakini kama amekupenda kwa dhati hata kwenye hard time ataendelea kuwa nawe bila shida yoyote.
Hivi jamani tuwe wa kweli saazingine, mfano unakutana na mkasa kama huu...unakuta mke kajitolea kweli kwa mme kwa upendo wake wote. Siku ya siku mke kazi ikaisha akawa hana kipato...then badala hata ya mumewe kumjali au kushare naye anachopata pengine anapata mashahara wa 300,000 kumpa mkwewe hata 10,000 akajinunulie mafuta inakuwa shida, na hapo hapo anaspend unwisely hizo pesa (kwenye pombe, kununulia pengine gari n.k) hivi hata kama mke alikuwa na mapenzi ya kweli hapo kutakuwa namapenzi kweli?
 
Swali gumu mheshimiwa
 
Back
Top Bottom