Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
- Thread starter
- #61
...kuchukua kwa nguvu sithubutu maana mamsapu ni 'graduate' wa Tae-Kwon do tena wa ule mkanda mweusi 🙁
...majuzi 'nilinunua' ugomvi bila kutarajia! kisa chenyewe kilikuwa;
...mamsapu kajijaribisha (bila mafanikio) evening dresses za kutokea usiku... baada ya masaa kukatika akaniuliza, " mbona nguo zangu hazinitoshi tena, nimenenepa?"... jibu langu lilikuwa ndio, ..weeeh!
Haya bwana.
Inaleta raha watu wanavyowaza.
Ehe?