Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani.

Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe ndio basi, utafaidi bususu yake tu tena kwa ratiba zake, hawezi kukuweka kwenye profile zake.

Mwanamke akiwa ndio anafadhili na kuhudumia familia hawezi kukuweka kwenye profile yake au kukupa heshima. Women are naturally selfish.

Screenshot_20230225-225555_WhatsAppBusiness.jpg
 
Inategemea na location, kuna mahali people are struggling even to eat afu unapeleka ujinga wako unataka kupendwa, leta resources kwanza brother, we re in a resource deficit out here.
 
Inategemea na location, kuna mahali people are struggling even to eat afu unapeleka ujinga wako unataka kupendwa, leta resources kwanza brother, we re in a resource deficit out here.
Mkuu mbona we mkali, ila huyu food deficit aikataza kupendwa na mkeo. Isipo kua wanawake zetu paka akufaidi vizuri ndo akutangaze. Kwamba ana mme, 'women don't advertise poverty' kwao pesa ni strong kuliko mapenzi ya dhati.
 
Mimi na lishangazi langu limenichora tatoo ya jina Tajiri kichwa kwenye mwili wake. Sasa na iyo mkuu tunaitaje?
 
Mimi na lishangazi langu limenichora tatoo ya jina Tajiri kichwa kwenye mwili wake. Sasa na iyo mkuu tunaitaje?
Huyu anatamani hicho alicho chora kwenye mwili wake, katika saikoloji kuna kuna kitu kinaitwa indetification ni hali ya mtu kutaka kujitambulisha na mtu maarufu kama tajiri, mcheza mpira films star nk, hiyo ni stage ya ukuaji pia, wanawake wakishindwa kupata alivyo tegemea anaanza kutamaani watu maarufu na atawachora au kuwaweka kwenye profile zake.
 
Hii kweli kabisa wakati tupo chuo wife enzi hizo ana status kama mchumba wangu nilikuwa namuona kabisa hana confidence na mimi mbele za mashoga zake now kibao kimegeuka analazimisha kunitamburisha kwa ndugu na mashoga zake. Sema nini wakuu wanawake hawana huruma na broke nigga tuzisake kichizi maana aliezipata hata akifumaniwa haachwi. Sasa we masikini cheat alafu udakwe uone. Labda uwe umeoa mwanamke mweusi na asie na chura
 
Hii kweli kabisa wakati tupo chuo wife enzi hizo ana status kama mchumba wangu nilikuwa namuona kabisa hana confidence na mimi mbele za mashoga wake now kibao kimegeuka analazimisha kunitamburisha kwa ndugu na mashoga zake. Sema nini wakuu wanawake hawana huruma na broke nigga tuzisake kichizi maana aliezipata hata akifumaniwa haachwi. Sasa we masikini cheat alafu udakwe uone. Labda uwe umeoa mwanamke mweusi na asie na chura
Pole mkuu umewahi kumuuliza why au ulijua why from then

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hii kweli kabisa wakati tupo chuo wife enzi hizo ana status kama mchumba wangu nilikuwa namuona kabisa hana confidence na mimi mbele za mashoga wake now kibao kimegeuka analazimisha kunitamburisha kwa ndugu na mashoga zake. Sema nini wakuu wanawake hawana huruma na broke nigga tuzisake kichizi maana aliezipata hata akifumaniwa haachwi. Sasa we masikini cheat alafu udakwe uone. Labda uwe umeoa mwanamke mweusi na asie na chura
Hebu weka bold hapo kwenye "mweusi n'a hana chura"
 
Huyu anatamani hicho alicho chora kwenye mwili wake, katika saikoloji kuna kuna kitu kinaitwa indetification ni hali ya mtu kutaka kujitambulisha na mtu maarufu kama tajiri, mcheza mpira films star nk, hiyo ni stage ya ukuaji pia, wanawake wakishindwa kupata alivyo tegemea anaanza kutamaani watu maarufu na atawachora au kuwaweka kwenye profile zake.

Kwaiyo anatamani mimi tajiri kichwa
 
Hela sio mizimu kusema kwamba ni nomino ya dhahania
Ok... Point yangu ili ujiite unahela unatakiwa uwe na sh ngapi, maana mimi binafsi sijawahi kujihisi kua na hela hata sikumoja, kila nikizipata nahisi nahitaji tena zingine zaidi ya nilizonazo..
 
Back
Top Bottom