Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

Hii kweli kabisa wakati tupo chuo wife enzi hizo ana status kama mchumba wangu nilikuwa namuona kabisa hana confidence na mimi mbele za mashoga wake now kibao kimegeuka analazimisha kunitamburisha kwa ndugu na mashoga zake. Sema nini wakuu wanawake hawana huruma na broke nigga tuzisake kichizi maana aliezipata hata akifumaniwa haachwi. Sasa we masikini cheat alafu udakwe uone. Labda uwe umeoa mwanamke mweusi na asie na chura
Wa kwangu alikua ana weka picha zangu kwenye wallet yake kama identity, na kwenye mto ni kiwa kazini ana lalia picha yangu, ila tulivo toka kwenye apartment ya mjini tukahamia kwenye pagara letu ambalo alija isha halina umeme, na ni kajiajiri kwa kuacha kazi ya mwezi, picha zangu zote aliziondowa kwenye wallet yake na kweny fb kaniondowa, lili niuma sanaa kwa wakati huo bila kumwabia chochote ila ni lizoea. Ila nikaoa mke wa pili atakae endana na maisha yangu mpya ya ujasiliamali.
 
Hivi mnajua wanaume ndio wanasaidiwagwa sana nawanawake halafu shukurani Yao ndio mateke,mf. Zari alimkuta Diamond anashangaa tu alimsaidia akafika alipo hapo,kajala alimsaidia harmonize Kwa Kiasi kikubwa , Rita ndio kasaidia wengi ila wanaume shukurani ndio u shida .
Huyo kasaidiwa na MATUNDA yudaflipotokea akafurahia kumuweka kwenye mabangoo .

Haya Sasa jidanganyeni
 
Mbona hutaji huo msaada zaidi ya kusema wali wasaidia, taja misaada kwao wasani, nyie wanawake mna kasumba ya kusema tu kwamba mnatusaidia wakati hiyo misaada hamiitaji.
 
Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Hivi mnajua wanaume ndio wanasaidiwagwa sana nawanawake halafu shukurani Yao ndio mateke,mf. Zari alimkuta Diamond anashangaa tu alimsaidia akafika alipo hapo,kajala alimsaidia harmonize Kwa Kiasi kikubwa , Rita ndio kasaidia wengi ila wanaume shukurani ndio u shida .
Huyo kasaidiwa na MATUNDA yudaflipotokea akafurahia kumuweka kwenye mabangoo .

Haya Sasa jidanganyeni

Zari kamsaidia diamond nin?wakati zari anakuja tz hata followers hana kawapata kisa diamond na umaarufu ukaongezeka kisa diamond weeeee
 
Mbona hutaji huo msaada zaidi ya kusema wali wasaidia, taja misaada kwao wasani, nyie wanawake mna kasumba ya kusema tu kwamba mnatusaidia wakati hiyo misaada hamiitaji.

Hakuna kitu zar hajamsaidia diamond chochote kamkuta ashatoka ,wema ndio kamsaidia diamond
 
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani.

Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe ndio basi, utafaidi bususu yake tu tena kwa ratiba zake, hawezi kukuweka kwenye profile zake.

Mwanamke akiwa ndio anafadhili na kuhudumia familia hawezi kukuweka kwenye profile yake au kukupa heshima. Women are naturally selfish.

View attachment 2530069
Kwani na wewe ukiwa na demu mbovu utaweza mpost wauni wakusarandie?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom