Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

Siri ni Yako tu ukisha share na mtu mwingine sio Siri tena na Wala sio wanawake tu hata mwanaume hawatunzi Siri. Siri ni Yako tu Baki nayo ili iendelee kuwa Siri ukimwambia hata mke au mume wako sio Siri tena hiyo
 
Hata wanaume kwa sasa mafriza hayagandishi
 
Acheni kukasirikia watu, ikiwa ni siri basi ihifadhi kwa binafsi yako, wewe imekushinda ila wataka mwingine aiweze. Ni sawa na kuwa na shida ya kiasi fulani ya pesa wewe huna hdlafu unaowaomba wanakwambia hawana unawakasirikia.
 
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..

Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.

Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku kushare siri zako kwa mwanamke hata kama ni mama yako mzazi usimwambie bora ufe nazo.

Hata mama yako ana mshauri wake utakavyo muomba ushauri wa magumu yako au kumweleza siri zako tambua ujue na yeye ataenda kwa mshauri wake kumweleza kila kitu.

Baba zetu tunajua ni magumu mengi mnapitia kuna muda unashindwa kuvumilia kutunza siri zako ila usimwambie mke wako bora ufe nazo.. Wanawake hawatunzi siri hawa

Note:
Zingatia hilo mkuu wanawake wengi sio watunza siri hata kama anakupenda vipi ukimwambia siri zako au mapungufu yako umeisha.

Sio wanawake wote wako hivyo kuna wengine wana moyo wa kipekee sana 8/10%
Acha bna mpka mama tena
 
Akina mama ni VIROPOROPO sana na ndo mwanzo wa KUROGWA mpaka unaanza kutembelea MAKALIO.

Wachawi watakuvunja migulu yote.
 
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..

Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.

Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku kushare siri zako kwa mwanamke hata kama ni mama yako mzazi usimwambie bora ufe nazo.

Hata mama yako ana mshauri wake utakavyo muomba ushauri wa magumu yako au kumweleza siri zako tambua ujue na yeye ataenda kwa mshauri wake kumweleza kila kitu.

Baba zetu tunajua ni magumu mengi mnapitia kuna muda unashindwa kuvumilia kutunza siri zako ila usimwambie mke wako bora ufe nazo.. Wanawake hawatunzi siri hawa

Note:
Zingatia hilo mkuu wanawake wengi sio watunza siri hata kama anakupenda vipi ukimwambia siri zako au mapungufu yako umeisha.

Sio wanawake wote wako hivyo kuna wengine wana moyo wa kipekee sana 8/10%

Bi mkubwa kakuchomesha jamaa yangu??
 
Aaah hata nyie hamtunzi bwana msitusingizie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe umeshindwa kukaa na siri yako why unilaumu mimi jamani!! Sasa mimi ni nani hata nikae nayo?
[emoji1787][emoji1787]

Umenichekesha usiku huu.
 
Mwanamke atakaa na Jambo maximum masaa 47.
Siri ambayo mwanamke anaweza kuitunza hasa kwa mumewe Ni Kama aliwahi kutoa mimba huko nyumba.
Ila Kama jambo baya hakimhusu mwanamke hata Kama Hana voucher, atakopa ili azambaze hilo Jambo.
 
Siri bwana mkubwa haitunziki kifuani pa mtu yoyote bila kujali jinsia yake, ukitaka kuamini tafuta rafiki yako wa kiume unaemwamini jifanye unamwambia siri kubwa ya maisha yako kisha kipite kipindi fulani mtofautiane uone balaa lake.
 
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..

Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.

Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku kushare siri zako kwa mwanamke hata kama ni mama yako mzazi usimwambie bora ufe nazo.

Hata mama yako ana mshauri wake utakavyo muomba ushauri wa magumu yako au kumweleza siri zako tambua ujue na yeye ataenda kwa mshauri wake kumweleza kila kitu.

Baba zetu tunajua ni magumu mengi mnapitia kuna muda unashindwa kuvumilia kutunza siri zako ila usimwambie mke wako bora ufe nazo.. Wanawake hawatunzi siri hawa

Note:
Zingatia hilo mkuu wanawake wengi sio watunza siri hata kama anakupenda vipi ukimwambia siri zako au mapungufu yako umeisha.

Sio wanawake wote wako hivyo kuna wengine wana moyo wa kipekee sana 8/10%
Ila wanatunza Siri za kutoa mbwa nje na kukubambikia mtoto
 
Mama woote huficha siri za watoto wao labda asiyetunza siri zako ni mama yako pekee
 
wanawake wengi sio watunza siri
Siri zake ni Siri Ila Siri zako kwake sio Siri ni mdahalo kwa hio lazima atatafuta wachangiaji awaelezee ili wajue jinsi ya kukusaidia maana wewe unaona ni Siri yako Ila yeye ukimwambia inakua sio Siri ni tatizo la mwanae au mumewe, jiulize yeye ameshawahi kukwambia Siri zake za ndani mfano Siri yake ya Mwanaume aliewahi kumgegeda kwa mara ya kwanza na kumtoa bikra alishawahi kukwambia?
 
Back
Top Bottom