Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

Siri zake ni Siri Ila Siri zako kwake sio Siri ni mdahalo kwa hio lazima atatafuta wachangiaji awaelezee ili wajue jinsi ya kukusaidia maana wewe unaona ni Siri yako Ila yeye ukimwambia inakua sio Siri ni tatizo la mwanae au mumewe, jiulize yeye ameshawahi kukwambia Siri zake za ndani mfano Siri yake ya Mwanaume aliewahi kumgegeda kwa mara ya kwanza na kumtoa bikra alishawahi kukwambia?
Una hoja mkuu
 
Ndivyo walivyo alafu mwisho wake unakua hivi...

download.jpg
download-1.jpg


Cc: Mahondaw
 
Sio wote kwahio usilazimishe wanawake wote waonekane hivyo...
Mama yangu amekufa na Siri za watu wengi sana, yaani ilifika mahali hadi watu wanasema ukiwa na siri zako au mambo yako ya siri kwamwambie Mama Asamaleko atakusaidia na hutasikia kwa mtu yoyaote...
Mama alikuwa anatunza siri kias kwamba mwenye siri akija kuisema hadharani unageuka kumuangalia mama kwamba kawezaje tunza siri kiasi hiko...?
Hadi anakufa nilihisi labda alikunywa maji ya bendera ya kutunza siri enzi za Nyerere... Maana alikuwa hatoi siri kwa kiumbe chochote kile 😅
 
Sasa kama wewe hii siri uliyokuwa nayo umeshindwa kuitunza na umeamua kuiweka humu ingali unajua kuna wanawake wengi tu..


Mimi ni nani niitunze????
 
Back
Top Bottom