Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

Siri ni Yako tu ukisha share na mtu mwingine sio Siri tena na Wala sio wanawake tu hata mwanaume hawatunzi Siri. Siri ni Yako tu Baki nayo ili iendelee kuwa Siri ukimwambia hata mke au mume wako sio Siri tena hiyo
 
Hata wanaume kwa sasa mafriza hayagandishi
 
Acheni kukasirikia watu, ikiwa ni siri basi ihifadhi kwa binafsi yako, wewe imekushinda ila wataka mwingine aiweze. Ni sawa na kuwa na shida ya kiasi fulani ya pesa wewe huna hdlafu unaowaomba wanakwambia hawana unawakasirikia.
 
Acha bna mpka mama tena
 
Akina mama ni VIROPOROPO sana na ndo mwanzo wa KUROGWA mpaka unaanza kutembelea MAKALIO.

Wachawi watakuvunja migulu yote.
 

Bi mkubwa kakuchomesha jamaa yangu??
 
Mtoa post ana hoja ya msingi naomba asipuuzwe...
 
Aaah hata nyie hamtunzi bwana msitusingizie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe umeshindwa kukaa na siri yako why unilaumu mimi jamani!! Sasa mimi ni nani hata nikae nayo?
[emoji1787][emoji1787]

Umenichekesha usiku huu.
 
Mwanamke atakaa na Jambo maximum masaa 47.
Siri ambayo mwanamke anaweza kuitunza hasa kwa mumewe Ni Kama aliwahi kutoa mimba huko nyumba.
Ila Kama jambo baya hakimhusu mwanamke hata Kama Hana voucher, atakopa ili azambaze hilo Jambo.
 
Siri bwana mkubwa haitunziki kifuani pa mtu yoyote bila kujali jinsia yake, ukitaka kuamini tafuta rafiki yako wa kiume unaemwamini jifanye unamwambia siri kubwa ya maisha yako kisha kipite kipindi fulani mtofautiane uone balaa lake.
 
Ila wanatunza Siri za kutoa mbwa nje na kukubambikia mtoto
 
Mama woote huficha siri za watoto wao labda asiyetunza siri zako ni mama yako pekee
 
👍👍👍 well said women are fragile and inflammable beings
 
wanawake wengi sio watunza siri
Siri zake ni Siri Ila Siri zako kwake sio Siri ni mdahalo kwa hio lazima atatafuta wachangiaji awaelezee ili wajue jinsi ya kukusaidia maana wewe unaona ni Siri yako Ila yeye ukimwambia inakua sio Siri ni tatizo la mwanae au mumewe, jiulize yeye ameshawahi kukwambia Siri zake za ndani mfano Siri yake ya Mwanaume aliewahi kumgegeda kwa mara ya kwanza na kumtoa bikra alishawahi kukwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…