Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

Una hoja mkuu
 
Sio wote kwahio usilazimishe wanawake wote waonekane hivyo...
Mama yangu amekufa na Siri za watu wengi sana, yaani ilifika mahali hadi watu wanasema ukiwa na siri zako au mambo yako ya siri kwamwambie Mama Asamaleko atakusaidia na hutasikia kwa mtu yoyaote...
Mama alikuwa anatunza siri kias kwamba mwenye siri akija kuisema hadharani unageuka kumuangalia mama kwamba kawezaje tunza siri kiasi hiko...?
Hadi anakufa nilihisi labda alikunywa maji ya bendera ya kutunza siri enzi za Nyerere... Maana alikuwa hatoi siri kwa kiumbe chochote kile 😅
 
Sasa kama wewe hii siri uliyokuwa nayo umeshindwa kuitunza na umeamua kuiweka humu ingali unajua kuna wanawake wengi tu..


Mimi ni nani niitunze????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…