Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Mawigi ni majanga utakuta linanuka kama kafa panya. Mademu wa chou wengi wanatumia sana hayo majitu na nywele za kuunga au rasta demu anakaa nazo miezi sita na kuda spray wanapulizia sasa ukichanganya na harufu yake unaweza kutapika aisee
 
Like beberu like smell[emoji1] [emoji1] [emoji1] ,mvua ikinyesha wanakosa amani kabisa mana zikiloa hizo nywele harufu inaongezeka maradufu[emoji4] [emoji1] [emoji1]
 
Inategemea na ntu na ntu. Wig huwa linavaliwa na kuvuliwa. Kwa weave inategemea na aina ya weave. Ukiweka weave og unaweza vaa hata miezi sita kazi yako inakua kuosha tu nywele. Sasa wale wenzangu na mie tunaovaa nywele za plastic hawawezi zidisha two weeks inabidi wazitoe maana zile hazioshwi na joto la kichwani lazima litow harufu.
 
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.

Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.
Wanawake kama wana laana fulani. Wanakaa nayo kichwani hadi yananuka au kutoa vumbi yeye hata hasikii harufu, kila siku asubuhi anapilizia manukato. Mvua ikinyesha ananunua mfuko wa rambo anavaa kichwani.

Siyapendi, siyapendi, siyapendi. Nikiliona nahisi kutapika. Yakinyeshewa yakalowana yananuka kama Vyoo vya sokoni.

Dunia simama nishuke.
 
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.

Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.

Picha ya Hamisa iko wapi na lile wigi lake lililo okotwa kule Madale baada ya kipigo cha mwizi? Mkuu weka tulinuse tafadhali.
 
images-1.jpg

Naomba kuwasilisha.....
 
I am yet to meet a man who has anything positive to say about wigs 😛😛😛😛😛

Bado sana kukutana na mwanamme yeyote aliesifia mawigi

Sidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu anapenda mkewe avae haya , huwa mnaforce tu.

Binafsi nilishampiga marufuku wife ole wake ajaribu kuyavaa.

Halafu mbona huwa hampendezi au sisi vipofu?
 
Back
Top Bottom