kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Mkuu mimi sikuishia kwenye kupiga marufuku tu bali nilimpeleka kwa mwanasheria akasign mkataba wakutokuvaa wigi maisha yake yote tutakayoishi pamoja kisha akala na kiapo juu............Sidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu anapenda mkewe avae haya , huwa mnaforce tu.
Binafsi nilishampiga marufuku wife ole wake ajaribu kuyavaa.
Halafu mbona huwa hampendezi au sisi vipofu?