Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Baby!!!!!!Dawa yake ukimkuta kalivaa unamvua halafu unakimbia nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby!!!!!!Dawa yake ukimkuta kalivaa unamvua halafu unakimbia nalo
Ebu sema neno mkuu.....[emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utashangaa mwengine kavaa wigi la laki tatu wakati hicho kichwa kilifeli hisabati
inatakiwa afanyiwe oparesheni ya ubongo
Yaani ntakulaani.unanikuta niko kariakoo nakutiming nakuvua huyo naanza kukatisha mitaa kisha naenda kulichoma moto hasa hivi viless wigi vya bei rahisi
Hapana huyu anatudanganyaDa vinci sio mwanamke, jana aliweka uzi wa kukanusha kuwa sio mwanamke, japo baadae mods walifanya yao kwenye huo uzi. Alisema yeye anatumia hiyo ID na mwanamke hivyo kuna wakati huyo mwanamke anaweka post zake kwa mfano ile ya kutafuta kazi.
Lakini si anaishi Dar???Mkurya wa Nyamongo
HapanaLakini si anaishi Dar???
Nitajibu kwa sababu sina nywele.
Yani mimi fake ni nywele zangu tu. Sibandiki kucha sijawahi kubandika kope. Yani niko fake kwenye nywele tu. Na tukubaliane kwamba sio kila kitu Mungu atakupa kama wengine. Kama mimi kanipa kipilipili na nimekipokea nimeamua kukificha kwa nywele fake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha sawa nimekuelewa, lakini mkiwa na nywele zenu asilia huwa mnapendeza zaidi, cha msingi ni matunzo. Nina imani kwa vile jamaa yako anakununulia hayo mawigi basi atakuwa na uwezo wa kugharamikia nywele zako za asili ukiamua kujitunza. Mjikubali.
Na nikupe siri kuhusu wanaume? huwa tunapenda mwanamke ambaye yupo natural si yule aliyeji' pimp. Kucha fake, nywele fake, kope fake na hata kutembea nako fake plus na sauti nayo pia.
Yani mimi fake ni nywele zangu tu. Sibandiki kucha sijawahi kubandika kope. Yani niko fake kwenye nywele tu. Na tukubaliane kwamba sio kila kitu Mungu atakupa kama wengine. Kama mimi kanipa kipilipili na nimekipokea nimeamua kukificha kwa nywele fake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na ntu na ntu. Wig huwa linavaliwa na kuvuliwa. Kwa weave inategemea na aina ya weave. Ukiweka weave og unaweza vaa hata miezi sita kazi yako inakua kuosha tu nywele. Sasa wale wenzangu na mie tunaovaa nywele za plastic hawawezi zidisha two weeks inabidi wazitoe maana zile hazioshwi na joto la kichwani lazima litow harufu.
Yani mimi fake ni nywele zangu tu. Sibandiki kucha sijawahi kubandika kope. Yani niko fake kwenye nywele tu. Na tukubaliane kwamba sio kila kitu Mungu atakupa kama wengine. Kama mimi kanipa kipilipili na nimekipokea nimeamua kukificha kwa nywele fake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unanikuta niko kariakoo nakutiming nakuvua huyo naanza kukatisha mitaa kisha naenda kulichoma moto hasa hivi viless wigi vya bei rahisi
Wanaume mnachekesha tulio natural tunaonekana washamba na tusioenda na wakatiSidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu anapenda mkewe avae haya , huwa mnaforce tu.
Binafsi nilishampiga marufuku wife ole wake ajaribu kuyavaa.
Halafu mbona huwa hampendezi au sisi vipofu?
Nyie watu ni matapeli acheni ulaghaiMkuu nakubaliana na wewe, mwanamke anapendeza zaidi akiwa natural.
Tatizo wanawake wana force/kuomba wanunuliwe na majamaa zao, halafu wanafikiri majamaa wanayafurahia kisa wamewanunulia, kumbe wangejua! .., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hee makubwa yaani ukamlazimisha awe natural bila yeye kutaka???Mkuu mimi sikuishia kwenye kupiga marufuku tu bali nilimpeleka kwa mwanasheria akasign mkataba wakutokuvaa wigi maisha yake yote tutakayoishi pamoja kisha akala na kiapo juu............
abeeeBaby!!!!!!
sio kwa nywele feki laana zitakujaYaani ntakulaani.
Hahahaaa hebu angalia hii clip mpaka mwisho