Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nikinyeshewa na mvua naenda salon nakausha. Kwa mfano mimi kuna muda natamani kusuka rasta ila siwezi. Nikisuka hata nywele za mkono naumwa kichwa. Nikisuka rasta napata homa kabisa. Sasa mateso yote hayo kwanini niyapate nianze kuumwa kichwa niumwe homa wakati kuna weave na wigs. Na napenda ukiacha matatizo ya kichwa changuAdha sio lazima uone wewe japo kuna adha mnakumbana nazo ila hamtaki kukubali, vipi ukinyeshewa mvua na wigi lako, hapo kinachotokea unakijua mwenyeweSijawahi kuzivaa na zinakera, jee nikizivaa sio ndio itakuwa balaa zaidi
Sawa.