Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Wanawake haya "mawigi" yanatakiwa yakae siku ngapi kichwani?

Wanawake kama wana laana fulani. Wanakaa nayo kichwani hadi yananuka au kutoa vumbi yeye hata hasikii harufu, kila siku asubuhi anapilizia manukato. Mvua ikinyesha ananunua mfuko warambo anavaa kichwani.

Siyapendi, siyapendi, siyapendi. Nikiliona nahisi kutapika. Yakinyeshewa yakalowana yananika kama Vyoo vya sokoni.

Dunia simama nishuke.
Tapika zaidi ila hatuvai kwa ajili yenu. Wakato wewe unatapika mwanaume mwenzio ndo ananinunulia bby nivae
 
Zama hizi za utandawazi,ktk wanawake kumi basi utakuta wanawake 8 wamevaa mawigi
 
kuna yale yanakua na rangi sijui ndo tuseme blonde au njano au kaki ile sina uhakika sana unakua kama kichaa fulanj hivi aliye chovya kichwa chake kwenye ndoo ya rangi dah
Nikikutana na manzi mwenye hayo mawigi ya rangi rangi, automaticaly siwezi siwezi kumuheshimu.
 
I am yet to meet a man who has anything positive to say about wigs 😛😛😛😛😛

Bado sana kukutana na mwanamme yeyote aliesifia mawigi
Na sisi wavaa mawig hatuwajali wala nini. Mimi bf wangu ananinunulia nywele mwenyewe. Sasa ndo niache kuvaa kweli kisa mwanaume wa JF kasema wakati hata hajui gharama yake.
 
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.

Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.
Ningekuwa na uwezo ningeweka sheria ili mwanamke anunue wigi ajaze maelezo kwenye form maalumu(Log book) yenye maneno yasiyopungua 1,000,000 akieleza ni kwanini anataka kununua wigi, kisha hiyo form ikapitishwe na rais au baraza la mawaziri ndio aweze kununua, madubwasha yanakera sana hayo japo wao wanayapenda ili kubana matumizi ukizingatia wanaume siku hizi hatuhongi pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unanikuta niko kariakoo nakutiming nakuvua huyo naanza kukatisha mitaa kisha naenda kulichoma moto hasa hivi viless wigi vya bei rahisi
 
Hapa naona wamependeza sana wakiwa hawajayavaa.

Mwanamke akifunga "mchicha" au "twende kilioni" ndio huwa anapendeza zaidi.
Mkuu nakubaliana na wewe, mwanamke anapendeza zaidi akiwa natural.

Tatizo wanawake wana force/kuomba wanunuliwe na majamaa zao, halafu wanafikiri majamaa wanayafurahia kisa wamewanunulia, kumbe wangejua! .., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom