Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Huwa wanaziliwa Na hayo mawigi downstairsNauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.
Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unakaa na mtu kwenye daladala mpak unatamani ufike kituoni uchuke mana harufu inayotoka utasema umekaa na beberuNakwajoto la bongo , unapishana namtu unahis kabeba jalala kichwan?? .
Like beberu like smell[emoji1] [emoji1] [emoji1] ,mvua ikinyesha wanakosa amani kabisa mana zikiloa hizo nywele harufu inaongezeka maradufu[emoji4] [emoji1] [emoji1]Mawigi ni majanga utakuta linanuka kama kafa panya. Mademu wa chou wengi wanatumia sana hayo majitu na nywele za kuunga au rasta demu anakaa nazo miezi sita na kuda spray wanapulizia sasa ukichanganya na harufu yake unaweza kutapika aisee
Wanawake kama wana laana fulani. Wanakaa nayo kichwani hadi yananuka au kutoa vumbi yeye hata hasikii harufu, kila siku asubuhi anapilizia manukato. Mvua ikinyesha ananunua mfuko wa rambo anavaa kichwani.Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.
Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.
Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine wakiyavaa utafikiri wametundika kwenye mti.
I am yet to meet a man who has anything positive to say about wigs πππππ
Bado sana kukutana na mwanamme yeyote aliesifia mawigi
hahahah,Sijaona manzi hata mmoja achangie comment kwenye hii thread, wanapita kimya kimya[emoji1] [emoji1] [emoji1]