Nikinyeshewa na mvua naenda salon nakausha. Kwa mfano mimi kuna muda natamani kusuka rasta ila siwezi. Nikisuka hata nywele za mkono naumwa kichwa. Nikisuka rasta napata homa kabisa. Sasa mateso yote hayo kwanini niyapate nianze kuumwa kichwa niumwe homa wakati kuna weave na wigs. Na napenda ukiacha matatizo ya kichwa changuAdha sio lazima uone wewe japo kuna adha mnakumbana nazo ila hamtaki kukubali, vipi ukinyeshewa mvua na wigi lako, hapo kinachotokea unakijua mwenyeweSijawahi kuzivaa na zinakera, jee nikizivaa sio ndio itakuwa balaa zaidi
Sawa.
SawaNikinyeshewa na mvua naenda salon nakausha. Kwa mfano mimi kuna muda natamani kusuka rasta ila siwezi. Nikisuka hata nywele za mkono naumwa kichwa. Nikisuka rasta napata homa kabisa. Sasa mateso yote hayo kwanini niyapate nianze kuumwa kichwa niumwe homa wakati kuna weave na wigs. Na napenda ukiacha matatizo ya kichwa changu
Umeitikaje ati!!!abeee
sio kwa nywele feki laana zitakuja
nitakununulia...!!Umeitikaje ati!!!
Ninunulie wigi baby.
Hivi weav Original ndio likoje au ndio nywele za mzungu 100%?Inategemea na ntu na ntu. Wig huwa linavaliwa na kuvuliwa. Kwa weave inategemea na aina ya weave. Ukiweka weave og unaweza vaa hata miezi sita kazi yako inakua kuosha tu nywele. Sasa wale wenzangu na mie tunaovaa nywele za plastic hawawezi zidisha two weeks inabidi wazitoe maana zile hazioshwi na joto la kichwani lazima litow harufu.
Hutoninyang'anya na kukimbia nalo?nitakununulia...!!
[emoji2][emoji2][emoji2]Wengine wakiyavaa utafikiri kavaa helmet ya waendesha pikipiki
nimecheka sanaaaa hii commentkuna yale yanakua na rangi sijui ndo tuseme blonde au njano au kaki ile sina uhakika sana unakua kama kichaa fulanj hivi aliye chovya kichwa chake kwenye ndoo ya rangi dah
Huna haja ya kukificha jikubali tu mwayaYani mimi fake ni nywele zangu tu. Sibandiki kucha sijawahi kubandika kope. Yani niko fake kwenye nywele tu. Na tukubaliane kwamba sio kila kitu Mungu atakupa kama wengine. Kama mimi kanipa kipilipili na nimekipokea nimeamua kukificha kwa nywele fake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanaanzaje kwa mfano,Sijaona manzi hata mmoja achangie comment kwenye hii thread, wanapita kimya kimya[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sawa baby.hahahaha
sitafanya .....!!
Kwa nini hamtaki kujikubali?
Kila mmoja kaumbwa kwa uzuri asilia, tujikubali tuepukane na adha zisizokuwa za msingi
Kumbe uzuri mnajua zinaweza kuwadhuru baadae ila mnafanya, basi ni juu yenuWanawake huwa tunajiambia we can look better in this or that.
Hatuchokagi kujaribu jaribu trends ambazo huwa baadae zinakuja kutudhuru ilmradi tu tuendane na mda.
Wanasemaga bhana.Inaelekea hawayapendi ila kutuambia live wanashindwa.