Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

Wanasema wanao ongoza n dada zetu wakristo.
 
asa afu stini ulimpa ya nini? Nyie ndo mnawapa mademu thamani ambazo hawana mnatutengenezea sie ugumu
 
Huyo dada mchafu na mzembe,Inabidi harufu uisikie kwanza mwilini mwako kabla ya mtu mwingine.

Inaweza kuwa infection, then unajipeleka hosp for matibabu plus usafi
 

We msela unakutana na mwanamke road unaenda kuweka bila kumwambia ingia kuoga..... usirudie jua ni kali hapo dom lazima jasho itoke mzee nwanamke yoyote mnapokutana asipojiongeza kuhusu swala la usafi unamwmabia tu mama ingia kuoga na wewe unaoga mnakuwa safi sio iyo kurukiana tu kama kuku
 
Mbona wazungu kwenye movie zao wanaonana leo leo wanakulana bila kuoga na wakimaliza hawaogi na hatusikii wakilalamika tatizo la K kunuka [emoji23][emoji23][emoji23]

Au mimi ndo mgeni hapo sielewi [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…