Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Mwanamke ukimwambia ukweli anaumia sana hivyo bora kukaa kimya kuliko kuharibu ujasiri wa mtu.Mkiwacha mnaogeza tatizo wapelekeni hospital na muwaambie wanaumwa sio normal mkiwaacha mnazidisha tatizo