Wanawake hebu nipeni majibu...

Wanawake hebu nipeni majibu...

Hawa hujiona full wazuri.
Kwao, kutongozwa ndicho kipimo cha uzuri wao.
Kwa hiyo, usipomtongoza, hujiona kama vile umemuona si mzuri na kwamba umemtua. Hivyo lazima akuchukie.
Dawa yake wewe tongoza tu hata kama huna mpango wa kugonga!
 
Sababu za kuchukiwa inategemea...
Wewe unahisi kakuchukia kisa haujamtongoza, mimi nadhani katika huo ukaribu kuna mambo ambayo unayafanya yanamboa labda kama amekuambia "nakuchukia kwakua haujanitongoza"

Unakuta katika kuwasiliana labda unasema ngoja niende hospital tangu juzi siko fresh, mtu anaanza ooh sijapenda kabisa yani umeniboa tangu juzi siku zote hizo haunambii yani bla bla bla..... Bro who are you kwani kila kitu nikuambie?!! Pimbi we!!!!

Usikute nawe unajidanganya eti haujamtongoza kumbe kuna madudu hayapendi.
 
Hata sio kweli, umejibu as if ni wapenzi. Mimi siongelei mpenzi wangu, ila ni kwa marafiki wa kike.
 
Womens tend to put guys whe treat them nicely in friend zone, ukiwa na urafiki na mwanamke just behave normal ili hata siku ukimtongoza asione kama umemvunjia heshima, ukimpa special treatment anakuchukulia kama rafiki na ukimtongoza atachukia
 
Elewa mada, sijamtongoza ila nilizoeana naye kidogo. Sasa nikawa kimya kwa siku kadhaa, nashangaa ananichunia tu, wakati hatuna uadui wowote.
 
Kwasababu ukishamtongoza anatengeneza source of income. Sasa usipomtongoza atapata wapi pesa
 
Back
Top Bottom