Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani kaka! Pamoja sana.Tatizo ni kutokujua tatizo acha ubata mkuu
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]mpelekee moto
Yaani bro huwa mpaka mtu unahisi una gundu yaani!Simple.
Wameshakusoma una potential sasa ukiwakaushia wanajiona hawajakamilika.
Hapo uliponiita bro sasa unaharibu.Yaani bro huwa mpaka mtu unahisi una gundu yaani!
Hata sio kweli, umejibu as if ni wapenzi. Mimi siongelei mpenzi wangu, ila ni kwa marafiki wa kike.Sababu za kuchukiwa inategemea...
Wewe unahisi kakuchukia kisa haujamtongoza, mimi nadhani katika huo ukaribu kuna mambo ambayo unayafanya yanamboa labda kama amekuambia "nakuchukia kwakua haujanitongoza"
Unakuta katika kuwasiliana labda unasema ngoja niende hospital tangu juzi siko fresh, mtu anaanza ooh sijapenda kabisa yani umeniboa tangu juzi siku zote hizo haunambii yani bla bla bla..... Bro who are you kwani kila kitu nikuambie?!! Pimbi we!!!!
Usikute nawe unajidanganya eti haujamtongoza kumbe kuna madudu hayapendi.
Naongelea urafiki kabisa hakuna mapenziHata sio kweli, umejibu as if ni wapenzi. Mimi siongelei mpenzi wangu, ila ni kwa marafiki wa kike.
Elewa mada, sijamtongoza ila nilizoeana naye kidogo. Sasa nikawa kimya kwa siku kadhaa, nashangaa ananichunia tu, wakati hatuna uadui wowote.Womens tend to put guys whe treat them nicely in friend zone, ukiwa na urafiki na mwanamke just behave normal ili hata siku ukimtongoza asione kama umemvunjia heshima, ukimpa special treatment anakuchukulia kama rafiki na ukimtongoza atachukia
Sasa watu hatuna ukaribu mkubwa zaidi ya kupg stor za kawaid, then ghafla tu ata salam anipi. Naanzaj kukosea nikisem alitak nimtongz na mm sikufany ivo?Naongelea urafiki kabisa hakuna mapenzi
Okay kama wewe waona hivyo haya!!!Sasa watu hatuna ukaribu mkubwa zaidi ya kupg stor za kawaid, then ghafla tu ata salam anipi. Naanzaj kukosea nikisem alitak nimtongz na mm sikufany ivo?