Em waache tena mkuu maana hii mara ya pili bango hili linaletwa/unalileta.Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shosti, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu[emoji23]
Mmmmh,tuwe makn cc wanaume kwenye uchaguzi wa hawa viumbepicha hiyo
Ngoja nipikiche macho kwanza ili nione vizuriiii.haya wakaa uchi hao umewaona
Akiweka picha uniiteMkuu haka ka uzi hakatanoga bila ka picha wallah
Mkuu....picha hiyo
Ninayo unaihitajMkuu....
Huyo una namba yake ya sim....[emoji39] [emoji39]
Kama huyu....[emoji15] [emoji15]Siku hizi wana tabia ya kujibinua kwenye picha kama wanabeba magunia migongoni
Utapofuka mkuu......Ngoja nipikiche macho kwanza ili nione vizuriiii.
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.