Wanawake, hivi huwa mnamaanisha nini?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..

Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..

Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?

Hujajipanga kwenye nini?
 
Ana maanisha hivyo hivyo alivyosema.
Wewe umepata pesa ndo unaona muda wako muafaka wa kuoa umefika.
Na yeye ana jambo lake bado hajakamilisha. Ukute pia ana mchumba wake mwingine anayetaka kuolewa nae na sio wewe.
 
ukishaambiwa hivyo chapa Lapa ajipange anakuja na kitanda cha kulalia kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…