Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..
Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..
Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?
Hujajipanga kwenye nini?
Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..
Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?
Hujajipanga kwenye nini?