Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaguo lake linapofeli ndio atajirudi na mtu wa hivyo sio wa kuishi nae.Wewe sio chaguo lake, mwanamke akikuambia hivyo ni wazi kuwa wewe ni spare tyre kwake, ana mtu wake anasubiria tu tamko la kwenda nyumbani.
Wanawake ni smart sana, basi tu...wanatupanga sio poa!!
Inategemea sasa,. Wanaume wengine mkishaoana anakua anataka atake control over everything na kuna vitu vingine anaweza akuzuie kuvifanya na nini,.Ndoto si mnaweza mkatekeleza wote kwenye ndoa? Eti?
Tafuta aliye tayari mkuu wanaohitaji ndoa ni wengi, angekua yeye angekuacha kwenye mataa usingeamini 🤣🤣Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..
Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..
Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?
Hujajipanga kwenye nini?
Ili nalo neno maana nimepitia same situation kaveliMove on, tafuta mwingine, hawa baadae huwa na majuto fulani.
Uliliwa uroda kwenye mma je kwa hiyari au ndio zile za kutishiwa watakuachia uzame 🤣Ili nalo neno maana nimepitia same situation kaveli
Acha usng mama*Uliliwa uroda kwenye mma je kwa hiyari au ndio zile za kutishiwa watakuachia uzame 🤣
Kwenye maji MBUNO zinakatwa vizuri tu
Me wa kiume wewe unamenywa nini🤣🤣🤣
Usenge upi sasa?
🤣 🤣 🤣Me wa kiume wewe unamenywa nini
Unaona mamtu alivonijibu Baada ya kumwambia nataka nije kwao
Sawa mkuu🤣 🤣 🤣
Punguza hasira, mie nilipoona philomena nikajua mdada.
🤣 🤣 🤣 Pole mwanangu🤣🤣
Dah ukweli mtupu babu sisi unaowataka Sana wala ataCha ajabu ambao hatuna muda nao ndo tunang'ang'ania ila nyie wenye malengo nao wanawazingua