Wanawake, hivi huwa mnamaanisha nini?

Wanawake, hivi huwa mnamaanisha nini?

Wewe sio chaguo lake, mwanamke akikuambia hivyo ni wazi kuwa wewe ni spare tyre kwake, ana mtu wake anasubiria tu tamko la kwenda nyumbani.

Wanawake ni smart sana, basi tu...wanatupanga sio poa!!
 
Wewe sio chaguo lake, mwanamke akikuambia hivyo ni wazi kuwa wewe ni spare tyre kwake, ana mtu wake anasubiria tu tamko la kwenda nyumbani.

Wanawake ni smart sana, basi tu...wanatupanga sio poa!!
Chaguo lake linapofeli ndio atajirudi na mtu wa hivyo sio wa kuishi nae.

Kuna classmate aliwahi fanyiwa hivyo na ke, yule ke alimuacha kwa dharau sana na kuchumbiwa na jamaa mwingine lakini yule jamaa hawakudumu wakaachana. Baada ya kuachana bidada akajirudi kwa jamaa aliemuacha, chap chap jamaa akavisha pete akaoa. Upendo una nguvu sana ila kufanywa plan B siwezi.
 
Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..

Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..

Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?

Hujajipanga kwenye nini?
Tafuta aliye tayari mkuu wanaohitaji ndoa ni wengi, angekua yeye angekuacha kwenye mataa usingeamini 🤣🤣
Tafuta aliye tayari pengine wewe sio mume wa ndoto zake !

Pongezi kwa binti kwa kuwa mkweli
 

Attachments

  • Screenshot_20241216_210650.jpg
    Screenshot_20241216_210650.jpg
    36.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom