Wanawake, hivi huwa mnamaanisha nini?

Ana mwingine huyo, Shtukaah!

Hakuna kitu wanawake wanakipenda karne hii kama ndoa!
 
Sure, Mfano Nandy na Nenga
 
Lakini mkuu ukumbuke Ata kwny maandiko mwanampotevu alikataa nyumbani kwao lakini maisha yalipompiga akarudi homie wazazi wakamsamehe
 
Unahitaji msaada wa haraka kijana
 
Mwanamke malaya ndiyo misemo yao hiyo, tokalini mwanamke akajipanga kwenye ndoa kwani yeye ndiye anae beba gharama za uendeshaji.
 
Inategemea sasa,. Wanaume wengine mkishaoana anakua anataka atake control over everything na kuna vitu vingine anaweza akuzuie kuvifanya na nini,.
So it’s better mkasubiri mda ambao kila mtu yuko tayari
Akuzuie kama una fanya mambo mabaya, sasa kama amekukuta kwenye ujasiliamali wako kwanini akuzuie?
 
Sijawahi sikia kijana wa kiume anaibua swala la kutaka kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa mwanamke,hiyo sio kazi yako kabisa ,by the way naona dada kama anakukataa hivi
Ni kweli mwanamke ndiyo anatakiwa kuanzisha hoja za kwenda kujitambulisha na siyo Mwanaume.
 
Wewe sio chaguo lake, mwanamke akikuambia hivyo ni wazi kuwa wewe ni spare tyre kwake, ana mtu wake anasubiria tu tamko la kwenda nyumbani.

Wanawake ni smart sana, basi tu...wanatupanga sio poa!!
Wacha bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…