Key board worriors 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli mwanamke ndiyo anatakiwa kuanzisha hoja za kwenda kujitambulisha na siyo Mwanaume.
Kama unavyonifanyia!!Wacha bwana!!
Weeeeh! Nimefanyaje?Kama unavyonifanyia!!
Ulivyonitamkia....kuwa hutaki......si unaelewa eeeh!!Weeeeh! Nimefanyaje?
.Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..
Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..
Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?
Hujajipanga kwenye nini?
Sitaki nini?Ulivyonitamkia....kuwa hutaki......si unaelewa eeeh!!
Acha basi....Sitaki nini?