Wanawake, hivi huwa mnamaanisha nini?

Wanawake, hivi huwa mnamaanisha nini?

Ni kweli mwanamke ndiyo anatakiwa kuanzisha hoja za kwenda kujitambulisha na siyo Mwanaume.
Key board worriors 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..

Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na bado hajajipanga..

Hivi mnaposema bado "mimi sijajipanga kwa ndoa " mnakuwa mnamaanisha nini?

Hujajipanga kwenye nini?
.
Bro, usisikitite, katoe sadaka ya Shukrani, mashenzy kama hayo yanakuja kuwa masumbufu sana kwenye ndoa, mshukuru wala usimlaumu!
 
Back
Top Bottom