Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
M
Mtuelewe tu ivo,kila mtu ana reaction yake inapotokea kutofautiana na mpnz wakeHata wanaume wengine kama wanawake mtu anakuacha anakutukana weee mpaka unajiona choo alafu baada ya muda anarudi umsamehe eti ni hasira tu ... Shida kweli kweli