M Marine creature JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 2,259 Reaction score 2,971 Aug 1, 2021 #101 M Go mi num said: Hata wanaume wengine kama wanawake mtu anakuacha anakutukana weee mpaka unajiona choo alafu baada ya muda anarudi umsamehe eti ni hasira tu ... Shida kweli kweli Click to expand... Mtuelewe tu ivo,kila mtu ana reaction yake inapotokea kutofautiana na mpnz wake
M Go mi num said: Hata wanaume wengine kama wanawake mtu anakuacha anakutukana weee mpaka unajiona choo alafu baada ya muda anarudi umsamehe eti ni hasira tu ... Shida kweli kweli Click to expand... Mtuelewe tu ivo,kila mtu ana reaction yake inapotokea kutofautiana na mpnz wake
Go mi num JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 1,321 Reaction score 1,609 Oct 19, 2022 #102 Marine creature said: M Mtuelewe tu ivo,kila mtu ana reaction yake inapotokea kutofautiana na mpnz wake Click to expand... Ndio matusi??? Ukipiga kimya unapungukiwa nini?
Marine creature said: M Mtuelewe tu ivo,kila mtu ana reaction yake inapotokea kutofautiana na mpnz wake Click to expand... Ndio matusi??? Ukipiga kimya unapungukiwa nini?
I intelelect Senior Member Joined Jul 8, 2022 Posts 190 Reaction score 284 Oct 19, 2022 #103 Alo ni kweli imenitokea nilikua naelewana na manzi mmoja bac tumekua maadui salaam hakuna
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,282 Reaction score 4,316 Oct 19, 2022 #104 Sio lazma, ila ni lazma musiwe na mazoea ya kiboya kama mmoja wenu au wote mna mahusiano mapya Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazma, ila ni lazma musiwe na mazoea ya kiboya kama mmoja wenu au wote mna mahusiano mapya Sent using Jamii Forums mobile app