Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa.

Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.

Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.
 
Haitokaa itokeee hata kama ukiunga sub-woofer, eti ^lisauti^ liwe zito at the same time -- neva, I mean, never! Kwa hiyo, Watanzania, tusihofu lolote tuendelee tu kuchapa kazi, tutembee vifua mbele. Nchi yetu ni tajiri na ilipaswa iwe taifa hisani kwa watu wengine.
 
Sauti nzito tamu hasa mwenye nayo akiwa anafika mshindo, nahisi kudeka na usalama mikononi mwa Simba dume.

Ni Kama muungurumo wa Simba tu hasa Kama uliwahi kuusikia live ile hisia unapata ndo hiyo wanawake tunaojua maana ya besi tunavyofeel tukiwasikia.
 
Sauti nzito sauti ya mamlaka..
Inaniongezea nyege na mdeko wakati wa kupigwa miti..navurugwa dudu ya baba chanja ikiwa ndani yangu akiwa anapiga mikito yake na kunisemea masikioni mwangu..😋..acha tu
👀 🙄🙄🙄
 
...Mtu akiwa na sauti nzito ni ishara ya kuwa BOLD, we feel protected!, ni sawa na mtu kuwa tall na muscular....vyote vinaashiria SECURITY

I say no. ^We-men^ are perceptively & unreasonably defenseless; they always feel men's voice to be a sign of sigh of relief --- just like Winston Churchill's stentorian voice was able to calm the WWII warriors and gave them a triumphant victory.

It's psychological. Have you ever wondered why in the world would any competing teams haul boasting words over each other before they actually face off!???
 
Sauti nzito sauti ya mamlaka..
Inaniongezea nyege na mdeko wakati wa kupigwa miti..navurugwa dudu ya baba chanja ikiwa ndani yangu akiwa anapiga mikito yake na kunisemea masikioni mwangu..[emoji39]..acha tu
^Madereva, acheni kulewa huku mnaendesha gari kumbarabara^ ~ Kamanda Mambosasa
 
I say no. ^We-men^ are perceptively & unreasonably defenseless; they always feel men's voice to be a sign of sigh of relief --- just like Winston Churchill's stentorian voice was able to calm the WWII warriors and gave them a triumphant victory. It's psychological. Have you ever wondered why in the world would any competing teams haul boasting words over each other before they actually face off!???
loan board wamepandisha ile rate kutoka 8% kwenda 15% vijana na wadogo zetu watasoma kweli?
 
Back
Top Bottom