Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Mo j lile sauti lake kuna mademu wanaloa kabisa.wapumbavu kweli.
Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa

Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.

Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.
 
Sauti nzito tamu hasa mwenye nayo akiwa anafika mshindo, nahisi kudeka na usalama mikononi mwa Simba dume

Ni Kama muungurumo wa Simba tu hasa Kama uliwahi kuusikia live ile hisia unapata ndo hiyo wanawake tunaojua maana ya besi tunavyofeel tukiwasikia
Mbona sauti ya Simba inatisha na kuogofya, haivutii.
 
I say no. ^We-men^ are perceptively & unreasonably defenseless; they always feel men's voice to be a sign of sigh of relief --- just like Winston Churchill's stentorian voice was able to calm the WWII warriors and gave them a triumphant victory. It's psychological. Have you ever wondered why in the world would any competing teams haul boasting words over each other before they actually face off!???
Kinge
 
Wanawake sio wa kuwasikiliza unaweza ukajihisi Mungu alikuumba uje kuwa mfano wa kituko
1.Kapuku
2.Sura ya harmorapa
3.pua ya baba levo
4.Sauti ya moze iyobo
5.Kamwili kama juma nature
6.sasa umeangalia video ya harmonize umejihisi wewe ni wa kutupwa yani ni hoveless
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mtu ana machaguzi yake
Lakini kwenye base no choice, it's a single option. Umerudi kwenye jibu la msingi kabisa. Iko hivo hakuna cha base wala sauti nyororo jambo la msingi ni mapenz ya msikilizaji tu.
 
Lakini kwenye base no choice, it's a single option. Umerudi kwenye jibu la msingi kabisa. Iko hivo hakuna cha base wala sauti nyororo jambo la msingi ni mapenz ya msikilizaji tu.
Wanawake tunapenda wanaume wenye besi mkuu km huna besi kaa kwa kutulia usinisumbue na quote quote zako unaniboa Sasa khaaaaaaaaaa
 
Sauti nzito sauti ya mamlaka..
Inaniongezea nyege na mdeko wakati wa kupigwa miti..navurugwa dudu ya baba chanja ikiwa ndani yangu akiwa anapiga mikito yake na kunisemea masikioni mwangu..😋..acha tu
Aisee
 
Wanawake tunapenda wanaume wenye besi mkuu km huna besi kaa kwa kutulia usinisumbue na quote quote zako unaniboa Sasa khaaaaaaaaaa
na wanaume tunapenda sauti nyororo Kama ya wema.
 
Back
Top Bottom