Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Haya ngoja niweke pozi... ila usiniangushe mamaa Yna, manake nakusubiri kwa shauku kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Embu subiri kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ngoja niweke pozi... ila usiniangushe mamaa Yna, manake nakusubiri kwa shauku kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Embu subiri kwanza
Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa
Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.
Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.
Mvumilivu hula mbivu😘Haya ngoja niweke pozi... ila usiniangushe mamaa Yna, manake nakusubiri kwa shauku kubwa sana.
Sawa ila usinichomeshe mahindi bureMvumilivu hula mbivu[emoji8]
Mbona sauti ya Simba inatisha na kuogofya, haivutii.Sauti nzito tamu hasa mwenye nayo akiwa anafika mshindo, nahisi kudeka na usalama mikononi mwa Simba dume
Ni Kama muungurumo wa Simba tu hasa Kama uliwahi kuusikia live ile hisia unapata ndo hiyo wanawake tunaojua maana ya besi tunavyofeel tukiwasikia
Kama we ni mwanaume huwezi nielewaMbona sauti ya Simba inatisha na kuogofya, haivutii.
KingeI say no. ^We-men^ are perceptively & unreasonably defenseless; they always feel men's voice to be a sign of sigh of relief --- just like Winston Churchill's stentorian voice was able to calm the WWII warriors and gave them a triumphant victory. It's psychological. Have you ever wondered why in the world would any competing teams haul boasting words over each other before they actually face off!???
Ni kweli kabisa, maana hata wema anasifika kuwa na sauti nzuri sana.Kama we ni mwanaume huwezi nielewa
Na wapo wanaume wasioielewa sauti yake Sasa,Ni kweli kabisa, maana hata wema anasifika kuwa na sauti nzuri sana.
wachache sana ile sauti kinandaNa wapo wanaume wasioielewa sauti yake Sasa,
Kila mtu ana machaguzi yakewachache sana ile sauti kinanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake sio wa kuwasikiliza unaweza ukajihisi Mungu alikuumba uje kuwa mfano wa kituko
1.Kapuku
2.Sura ya harmorapa
3.pua ya baba levo
4.Sauti ya moze iyobo
5.Kamwili kama juma nature
6.sasa umeangalia video ya harmonize umejihisi wewe ni wa kutupwa yani ni hoveless
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kwenye base no choice, it's a single option. Umerudi kwenye jibu la msingi kabisa. Iko hivo hakuna cha base wala sauti nyororo jambo la msingi ni mapenz ya msikilizaji tu.Kila mtu ana machaguzi yake
Wanawake tunapenda wanaume wenye besi mkuu km huna besi kaa kwa kutulia usinisumbue na quote quote zako unaniboa Sasa khaaaaaaaaaaLakini kwenye base no choice, it's a single option. Umerudi kwenye jibu la msingi kabisa. Iko hivo hakuna cha base wala sauti nyororo jambo la msingi ni mapenz ya msikilizaji tu.
AiseeSauti nzito sauti ya mamlaka..
Inaniongezea nyege na mdeko wakati wa kupigwa miti..navurugwa dudu ya baba chanja ikiwa ndani yangu akiwa anapiga mikito yake na kunisemea masikioni mwangu..😋..acha tu
na wanaume tunapenda sauti nyororo Kama ya wema.Wanawake tunapenda wanaume wenye besi mkuu km huna besi kaa kwa kutulia usinisumbue na quote quote zako unaniboa Sasa khaaaaaaaaaa
Kuna mtu kalalama kwani mbona unashobo hivyo?na wanaume tunapenda sauti nyororo Kama ya wema.
Yaishe maana tunapoelekea siko, na mm uwa sikawii kujipotezea heshima yangu.Kuna mtu kalalama kwani mbona unashobo hivyo?