Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mzee unamjua Mose iYobo 😂😂😂Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa
Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.
Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.