Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Mwanaume sauti iwe nzito eeh!! Sauti kama ya Mose Iyobo si tutakuwa wote tunabembelezana
 
Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa.

Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe hatupendi hii misauti nyie mnapenda.

Kuna mwingine ana video za Obama kibao ukimuuliza kwanini anasema eti anapenda sauti yake tu sasa hii misauti mizito yetu nyie iweje muipende.
Mimi napenda ya wastani hayo masauti makubwa mazito ni wauaji
 
Sauti nzito tamu hasa mwenye nayo akiwa anafika mshindo, nahisi kudeka na usalama mikononi mwa Simba dume.

Ni Kama muungurumo wa Simba tu hasa Kama uliwahi kuusikia live ile hisia unapata ndo hiyo wanawake tunaojua maana ya besi tunavyofeel tukiwasikia.
...Mtu akiwa na sauti nzito ni ishara ya kuwa BOLD, we feel protected!, ni sawa na mtu kuwa tall na muscular....vyote vinaashiria SECURITY

Wanawake bana mambo yao dah! Acha muitwe wanawake tu.

Sauti nzito / Tall / Muscular vyote kwa mwanaume sio kigezo cha ustrong havina uhalisia wowote na hayo munayoyazungumza
 
Wanawake bana mambo yao dah! Acha muitwe wanawake tu.

Sauti nzito / Tall / Muscular vyote kwa mwanaume sio kigezo cha ustrong havina uhalisia wowote na hayo munayoyazungumza
Huna sauti nzito ndo maana umeandika hivi
 
Sauti nzito kwa Mwanaume ni potential sana..

Kwenye background yangu haijawahi kuwa appreciated (zaidi ya watu kuiponda, sijui ilikua ni wivu!!) ..

Kuna siku nilikua na presentation kwenye Mkoa fulani, uko ndio nilijua sauti nzito kwa Me inaraha yake..
 
Lazima utofauti uwepo
Inabidi mtu akisikia tu sauti Yako bila hata kukuona ajue Kuwa wewe ni beberu
Msiwape tabu watu kutambua jinsia zenu bhana
 
Wanawake bana mambo yao dah! Acha muitwe wanawake tu.

Sauti nzito / Tall / Muscular vyote kwa mwanaume sio kigezo cha ustrong havina uhalisia wowote na hayo munayoyazungumza
Google it in psychological terms hivi vitu labda utaelewa mweeehhhh
 
Back
Top Bottom