zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kumuongopee mumeo Mwanamke ni kisirani tu Jambo hilo hilo analishikia bango hata miaka 20 jambo hilo hiloVice versa its true.
Ambaye hasamei ni Mwanamme ila weakness yake ni kwamba anasahau.
Weakness ya mwanamke ni kwamba anasamehe ila strength yake ni kwamba huwa hasahau.
usinichukulie serious bana relaxPole Mamy nimekusahau tu, samahani sana
Aaah wapi acha kumpanga bhana usifikirie hatuwajui Wanawake wa MbeyaKaribu sana mbeya...siye ni wakarimu sana mkuu
Relax na wewe ndio umeanza kuchukulia serious km umeshikwa tako?usinichukulie serious bana relax
wewe mbonakuvamia vamia tu umejibiwa wewe? punguza kihedemswedeRelax na wewe ndio umeanza kuchukulia serious km umeshikwa tako?
Nakuja soon.Karibu sana mbeya...siye ni wakarimu sana mkuu
Mimi ni mwepesi kusamehe na ni desturi yangu,,ila nikichokaπ₯²ngoj nisimalizie
πππHata kwenye mazingira ya kawaida nakumbuka kipind Cha miak 14 hiv Ile teenager Kuna rafikiyangu pia jirani yetu tulikosana akawa anaongea ongea nikasamehe mara pili Tena ya Tatu ikawa kawaida, anataka tugombane napotezea namkwepa tunaendelea kuzungumza
Siku alisema neno baya ndo siku niliyo choka alisalimia skumjibu ndio ikawa bas miak mitatu ilipita tunaishi jiran na tunaonana kilasiku na simseshi na akinisemesha sijibu π had wamama pale mtaani wakaingilia akaja kuniomba msamaha lkn wapi π π π
Manyanza
Huyo hafai endelea kum ignore tena Block mazima, Aisee haina ulazima wa kuendelea kuwa na ukaribu naye.Hata kwenye mazingira ya kawaida nakumbuka kipind Cha miak 14 hiv Ile teenager Kuna rafikiyangu pia jirani yetu tulikosana akawa anaongea ongea nikasamehe mara pili Tena ya Tatu ikawa kawaida, anataka tugombane napotezea namkwepa tunaendelea kuzungumza
Siku alisema neno baya ndo siku niliyo choka alisalimia skumjibu ndio ikawa bas miak mitatu ilipita tunaishi jiran na tunaonana kilasiku na simseshi na akinisemesha sijibu π had wamama pale mtaani wakaingilia akaja kuniomba msamaha lkn wapi π π π
Manyanza
π π πNinasamehe ila kusahau hilo sahau. Nitakumbuka kosa lako la kwanza kunifanyia, miaka 10 naa iliyopita. Ukijikanyaga tena nakukumbushia hilo la miaka 10 π π π π π
Una imani, huruma, mpole sana kwahiyo inavyotokea umevunjika moyo kutokana na kero mbalimbali za Waja. Moyo wako unakuwa ni mgumu sana kupona.Wanawake tunasamehe ila hatusahau kirahisi
Kwa upande wangu Huwa mpotezeaji sinaga hasira za ovyo nasamehe sana Tena sana na Sina tabia ya kuhesabu makosa ya mtu ila shida ni moja nikisema inatosha Huwa siwez Tena kurudi nyuma Yani iyo kitu haiwezekani hata uniombe msamaha Dunia yote ijue siwezag kurudi nyuma
Sasa sijui nipo kundi gani π