Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

Labda ile hali ya kutongozwa na wenye hali/ nafasi nzuri kukuzidi mpenzi wake na akaamua kubaki na wewe ndio anaona amekuvumilia kubaki na wewe. Lakini ni mentality Tu ambazo wanawake wako nazo kuwa mwanaume ndio wakupambana regardless yeye hata asipo-offer kitu chochote ni sawaa tu.
 
Hii ilikuwa na maana zaidi miaka ya zamani ila kwa sasa sidhani kama ina maana sana mtu kumwambia mwenzie nimekuvumilia vinginevyo atazalishwa na kuachwa abaki Single mama jambo ambalo ke wengi hawapendelei kuwa katika hali hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa kampeni ya haki sawa imepamba moto upande wa kiumeni. Acha inyeshe....🤣
 
Hata mimi nashangaa maana unakuta wote mna hali ngumu ila unaweza aambiwa umevumiliwa muda mrefu na hali ngumu yako
 
Pia kusema “ nimekuzalia mtoto au watoto” inamaana mwanamke amefanya “surrogate “ kwa hiyo hao watoto wanakuwa wa baba 100% mama sio wake hata kidogo?!
 
Back
Top Bottom