Labda ile hali ya kutongozwa na wenye hali/ nafasi nzuri kukuzidi mpenzi wake na akaamua kubaki na wewe ndio anaona amekuvumilia kubaki na wewe. Lakini ni mentality Tu ambazo wanawake wako nazo kuwa mwanaume ndio wakupambana regardless yeye hata asipo-offer kitu chochote ni sawaa tu.