Wanawake huongoza kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kupiga picha zenye utata

Wanawake huongoza kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kupiga picha zenye utata

Mbona sielewi mana wazungu wanatuambia mwanamke kuvaa hijabu na baibui ni kumnyimba haki yake ya kuvaa vipedo pusha huku wabongo mnalalamika wanawake wanaongoza kwa kutukanwa mitandaoni kwa kuwa hawajisitiri wanapiga picha wakibinua makalio na kujipost mitandaoni Sasa tumsikilize nani.???? Yote tisa ila uislamu umempa heshima kubwa Sana mwanamke ila kuna watu wapingaji wanajifanya vipofu hawaoni lakin mioyoni mwao wanajua ukweli ni upi.
Unatakiwa ujisikilize mwenyewe mkuu.
 
Kuweka picha ya mfano ni kuendelea kuwadhalilisha wahusika muu
Mleta mada Ukitoa Elimu kwa lengo la kubadilisha jamii siyo udhalilishaji, lengo ni kufundisha, but kunyamaza kimya na hizo hbr ni udahlilishaji zaidi bin Mada case!! bora ungepiga kimya!! wengine km wewe wamefika mbali zaidi, hawataki kulala wala kuguswa na waume zao wanasema ni U-Shetani!

Mke/Mdada marazote wanaopinga wenzao kukaa nusu uchi eti ni udhalilishaji ukiwachunguza, huwa wanajichukia mfano, hawana Mkia!! ni flat screen, vimiguu vipaja kama fito! akivaa jeans km imetundikwa kwa msumari. au wana magonjwa ya kudumu km Fibroids, Masculine Hormones nyingi, wadada wanaumiaga sana wakiona wenzao wana furaha na kupendwa na me''!! Wa hivi wanasifiwaga si mchezo hata kuwa mamiliionair huko Bollywood nk!! watafikaje huko?? ... Jibu ni Matangazo!

Mfano toto Paja, guu hilo kam zali wa Mondi, kingozi lainii, vimacho km Yasinta analia, akiwa mutupu usipime anavutia mno hata wanawake wanamtamani, Duniani kote ndivo ilivo, anadhalilika yule mwenye Shape ya tangawizi.

Ukitaka video yako uuze waweke warembo nusu uchi! Utauza kwa mamillioni kuliko aliye vaa ki-ninja , au migauni! haipingiki hiyo! ndiyo jamii ya Dunia ilivo, hata Ukichagua CD yule anaye onyesha papuchi yake ndo atachukuliwa kwanza!

Hata sherehe km harusi, Disco, Bar, Biashara, Hospital nk, ukitaka ipendeze na upate hela za wateja weka wadada wanono kiasi wenye vinguo nguo!! km Kofi olomide!! mdada Ukivaa kininja me'' hawatakujua, wala kukuona Biashara matangazo waache wawe huru! Maua ya Dunia hakuna anaye taka kufa na utamu wake km Muwa!
 
Kwa hiyo hii itakuwa wanajidhalilisha badala ya kudhalilishwa kutokana na kuweka picha za kudhalilisha wao wenyewe!
 
Back
Top Bottom