Wanawake hutoka zaidi nje ya ndoa wakati huu!

Wanawake hutoka zaidi nje ya ndoa wakati huu!

inaitwa the power of subcounsious mind.....

nimewahi zungumza huko nyuma kuwa yai la mwanamke linapokuwa tayari kwa kupokea mbegu
women wanavutika na healthy guy for sex or good gene,hence mahawara,ma handsome n.k

inaitwa the power of subcounsious mind.....

nimewahi zungumza huko nyuma kuwa yai la mwanamke linapokuwa tayari kwa kupokea mbegu
women wanavutika na healthy guy for sex or good gene,hence mahawara,ma handsome n.k

Boss bana....una mikwara sana saa ingine. Eti the power of subconscious mind....mimi nikiona hivyo nakumbuka Psychology 101.

Pia mavazi ya wanawake yana-design-iwa kuendena na siku za heat na kadhalika. Hivyo ukimwona mwanamke kavaa nguo ya kutamanisha ujue yuko kwenye muda wa kupata ujauzito!

Dawa yake ni kuwa na gene kali ambayo inatoa stamp!!

wifi nimekuona sana! ila yule mtoto wenu wa sita kafanana na odm ile mbaya. hivi shem na odm ni ndugu ama ni maswahiba tu? samahani kama ntakukwaza
Hapa nijifanye sijapita....

hili naona ni kweli maana dada zetu balaa siku hizi yaani wanasujudu ngono kuliko upendo ndani ya ndoa zao

Sasa mnataka 2anze kunyoosheana vidole wanandugu maana braa unaweza kujikuta ww mwenyewe njecup ina bidi 2uuchune tu. ila nahis hapa kwe2 kati ya 5 ni 1 tu ndie wa 4 co. ulimpata ulipo oa

Jambo hili linaweza kuwashangaza wengi, kuhusiana na swala zima la kutoka nje ya ndoa. Ni kwamba, kama mwanamke ana hawara, ni rahisi zaidi kwake kufanya tendo la ndoa na hawara huyo wakati akiwa kwenye kipindi anachoweza kupata ujauzito, tofauti na anapofanya tendo la ndoa na mumewe.

Watafiti wanaoaminika sana katika suala hili ni Bellis na Beker ambao walibaini kwamba hakuna utaratibu au kanuni yenye kuonesha kwamba, akiwa kwenye nyakati zake za ‘hatari' mwanamke hutamani kukutana kimwili na mumewe. Lakini waligundua kwamba, akiwa kwenye nyakati hizo, kuna kuvutwa zaidi kufanya tendo la ndoa na hawara.

Wanasaikolojia ya mabadiliko ya binadamu wanadai kwamba, hali hiyo ni ya kimaumbile zaidi kuliko kitu kingine. Bila shaka, ndio maana wanaume wengi wanapogundua kwamba wake zao wanatoka nje hujikuta wakianza kuwa na mashaka na watoto kama kweli wao ndio baba zao halali. Huu pia ni wito wa kimaumbile.

Nadharia nyingi zinazohusu jambo hili, zinaonesha kukiri kwamba, mwanamke anapokuwa na hawara, ni rahisi kuzaa watoto na hawara huyo kuliko kuzaa na mumewe wa ndoa. Ikumbukwe kwamba hapa ninazungumzia hawara na sio mwanaume ambaye ametembea na mwanamke husika ‘kwa bahati mbaya.

Kipindi ambacho mwanamke akifanya mapenzi anaweza kupata ujauzito ni kipindi ambacho hata hamu yake ya tendo la ndoa huongezeka pia. Kwa hiyo kama mwanamke ana hawara ni wazi atakwenda kukutana naye.

Taarifa ya U.S. News & World Report kwa mfano inasema kwamba, katika majaribio kadhaa ya vipimo vya damu (DNA bila shaka), ilithibitika kwamba, katika kila watoto kumi, mtoto mmoja alibainika kuzaliwa na mwanaume wa nje.

Lakini ripoti za karibuni kabisa, zinasema wanaume wanaodanganywa au kubambikiwa watoto wameongezeka na kufikia mmoja katika watoto saba na sio mmoja katika kumi. Idadi hii inaongezeka kwa sababu uaminifu katika ndoa nao unazidi kuporomoka.

Kwa hapa kwetu upatikanaji wa takwimu za aina hiyo ni mgumu. Lakini bado naendelea na utafiti huu, nitakapopata takwimu sahihi za hapa nchini kutoka kwa wahusika nitaziweka hapa.

Onyo kwa Wanaume: msije mkaanza kuwanyooshea wake zenu vidole, sitahusika kwa namna yoyote.

Hii submition yako imenifanya kila mwanangu atakayezaliwa nikampima DNA hali inatisha kam ndio hv mkuu.

Back
Top Bottom