Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaitwa the power of subcounsious mind.....
nimewahi zungumza huko nyuma kuwa yai la mwanamke linapokuwa tayari kwa kupokea mbegu
women wanavutika na healthy guy for sex or good gene,hence mahawara,ma handsome n.k

Hapa nijifanye sijapita....

Jambo hili linaweza kuwashangaza wengi, kuhusiana na swala zima la kutoka nje ya ndoa. Ni kwamba, kama mwanamke ana hawara, ni rahisi zaidi kwake kufanya tendo la ndoa na hawara huyo wakati akiwa kwenye kipindi anachoweza kupata ujauzito, tofauti na anapofanya tendo la ndoa na mumewe.

Watafiti wanaoaminika sana katika suala hili ni Bellis na Beker ambao walibaini kwamba hakuna utaratibu au kanuni yenye kuonesha kwamba, akiwa kwenye nyakati zake za ‘hatari' mwanamke hutamani kukutana kimwili na mumewe. Lakini waligundua kwamba, akiwa kwenye nyakati hizo, kuna kuvutwa zaidi kufanya tendo la ndoa na hawara.

Wanasaikolojia ya mabadiliko ya binadamu wanadai kwamba, hali hiyo ni ya kimaumbile zaidi kuliko kitu kingine. Bila shaka, ndio maana wanaume wengi wanapogundua kwamba wake zao wanatoka nje hujikuta wakianza kuwa na mashaka na watoto kama kweli wao ndio baba zao halali. Huu pia ni wito wa kimaumbile.

Nadharia nyingi zinazohusu jambo hili, zinaonesha kukiri kwamba, mwanamke anapokuwa na hawara, ni rahisi kuzaa watoto na hawara huyo kuliko kuzaa na mumewe wa ndoa. Ikumbukwe kwamba hapa ninazungumzia hawara na sio mwanaume ambaye ametembea na mwanamke husika ‘kwa bahati mbaya.

Kipindi ambacho mwanamke akifanya mapenzi anaweza kupata ujauzito ni kipindi ambacho hata hamu yake ya tendo la ndoa huongezeka pia. Kwa hiyo kama mwanamke ana hawara ni wazi atakwenda kukutana naye.

Taarifa ya U.S. News & World Report kwa mfano inasema kwamba, katika majaribio kadhaa ya vipimo vya damu (DNA bila shaka), ilithibitika kwamba, katika kila watoto kumi, mtoto mmoja alibainika kuzaliwa na mwanaume wa nje.

Lakini ripoti za karibuni kabisa, zinasema wanaume wanaodanganywa au kubambikiwa watoto wameongezeka na kufikia mmoja katika watoto saba na sio mmoja katika kumi. Idadi hii inaongezeka kwa sababu uaminifu katika ndoa nao unazidi kuporomoka.

Kwa hapa kwetu upatikanaji wa takwimu za aina hiyo ni mgumu. Lakini bado naendelea na utafiti huu, nitakapopata takwimu sahihi za hapa nchini kutoka kwa wahusika nitaziweka hapa.

Onyo kwa Wanaume: msije mkaanza kuwanyooshea wake zenu vidole, sitahusika kwa namna yoyote.