Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

Mwanamke anataka hakisawa,

[B]Ukimwambia njoo tufanye kazi ya kubeba taka au kuchimba Mtaro hawezi....[/B]

Haki sawa yake yeye ni ya kukaa Bungeni na Maofisini tu.
Kubeba mizigo nayo ni haki?
 
Nilipoona maneno shoo mbovu nilijua mambo ya kugegedana kwenye hilo wengi shoo zenu mbovu

Nirudi kwenye mada mwanamke ni mwanamke tu mbele ya mwanamume
 
I belong to comment viewers association of Tanzania( CVAT). We are a non-violent organization, Our goal is to read and scroll to the next comment and smile. commenters should please, make their comment very brief as possible so that we can scroll to the next one. Thank you. God bless Tanzania😂
 
Ingekuwa kweli mkiamua jambo haishindikani,basi musinge lialia kwenye taasisi za haki za binadam and gender balance.Kwa ujumla mnajilishaga upepo
 
Ila wanawake wanajielewaga wenyewe 😂😂😂 nahisi kama bangi kila mtu na shamba lake kichwani
 
Gunduzi ngapi zimevumbuliwa na Wanawake hadi useme wanawake wana akili kuliko Mwanaume?
 
Wanawake kwa mikwara bana, nyinyi ni binadamu toleo la pili. Hamtushindi japo pia hatuna nia ya kushindana na nyie!

Haya, tupeni mimba mtuharibie maisha kama kweli hamshindwi kitu!
 
Back
Top Bottom