Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
MnoAfu umekuja ghafla sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnoAfu umekuja ghafla sana
Kumbuka anayebeba mizigo naye analisha familiaKubeba mizigo nayo ni haki?
Pumba! Umetendwa siyo bure. Una msongo mkubwa wa mawazo.Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa" anauza mchana peupe, hadharani. Mwanamke ukimzingua, haoni hatari aitwe mjane, we jichanganye tu na umchukulie poa uone anavyokukata pumzi.
Mungu hakukosea alipowausieni muishi na mwanamke kwa akili!
Usiwajumuishe ke wote kwa sababu ya maneno ya hawa walioumizwa na stress kama mtoa mada. Washajichokea. Ukitazama btn lines utagundua ana makasirikoNdio maana nimeamua kuwa single milele
Kwani nawe ni ke?Hii thread wanawake tutacomment kwa uoga sana dah.....bora ungetuandikia pm tu [emoji23][emoji23]
Anyway Nazjaz acha mikwara [emoji16]
Msaidieni mwenzenuSure, hii itapunguza machungu, mioyo ya wanawake Ina majeraha, inavuja damu no wonder dada anandika maneno makali hivi Kuna Sababu nyuma ya andiko lake.
Tuliambiwa tukae nanyi kwa akili kwa sababu wanawake ni vyombo dhaifu na sio bla bla ulizoandika hapa.Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa" anauza mchana peupe, hadharani. Mwanamke ukimzingua, haoni hatari aitwe mjane, we jichanganye tu na umchukulie poa uone anavyokukata pumzi.
Mungu hakukosea alipowausieni muishi na mwanamke kwa akili!
Lete ushahidi. Otherwise ni porojo za vijiwe vya kahawa. U need help. Una rundo la stress. Pole piaMwanaume ndio kiumbe fala zaidi duniani. Adam hakum'bikiri Eva. Adam alikula mzigo baada ya kufundishwa na Eva ujanja
Soma tena ulichoandika. Idiot laana tulahMwanamke mmoja mke wa mtu alinipa Siri. MUMEWE. LKN baadae alijitudi na wanaishi japo mumewe jogoo habweki
Men and women all last longerBut women lasts longer
Kidume jitu mwitu msitu.....Kwani nawe ni ke?
[emoji28]Kidume jitu mwitu msitu.....
Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa" anauza mchana peupe, hadharani. Mwanamke ukimzingua, haoni hatari aitwe mjane, we jichanganye tu na umchukulie poa uone anavyokukata pumzi.
Mungu hakukosea alipowausieni muishi na mwanamke kwa akili!
Aisee, hata mm naona.Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.