Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

Kabeba bwanake Kwa begi yupo semina ya wanawake tunaweza.
 
Pumba! Umetendwa siyo bure. Una msongo mkubwa wa mawazo.
 
Ndio maana nimeamua kuwa single milele
Usiwajumuishe ke wote kwa sababu ya maneno ya hawa walioumizwa na stress kama mtoa mada. Washajichokea. Ukitazama btn lines utagundua ana makasiriko
 
Tuliambiwa tukae nanyi kwa akili kwa sababu wanawake ni vyombo dhaifu na sio bla bla ulizoandika hapa.
 
Mwanaume ndio kiumbe fala zaidi duniani. Adam hakum'bikiri Eva. Adam alikula mzigo baada ya kufundishwa na Eva ujanja
Lete ushahidi. Otherwise ni porojo za vijiwe vya kahawa. U need help. Una rundo la stress. Pole pia
 
wanawake wengi wanaishi kwa mateso..wanasihia kubeba mabeseni ya mihogo na matunda kutafuta wateja barabarani
 

Uko sahihi Kwa 50%
 
Aisee, hata mm naona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…