Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kama mama yako mzazi anavyopelekewa moto,siyo?jiangalie utapelekewa moto mtoto wakike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mama yako mzazi anavyopelekewa moto,siyo?jiangalie utapelekewa moto mtoto wakike
hamna kitu apo vilio vya wizi tu ivo.Mlie kwa mahaba,ila siyo kilio cha wizi sometimes unakuta mziki hauendani na tukio
Maneno hayo nimeanza kuyasikia toka miaka ya 90 tubu haraka yesu anakuja , walokole mnaonaga kila mtu anataka kuamini mnachokiamini🤔Hiyo "title" inaonesha wewe ni mzinzi, unatembea na wanawake wengi, vinginevyo badili "title" uulize: "mke wangu anaponiambia...ana maana gani?"
Kama unafanya uzinzi, tubu haraka. Yesu yuaja upesi, usije ukaikosa mbingu(Ufu 22:10-12)
Kama mama yako mzazi anavyopelekewa moto,siyo?
mrembo mamboo???Kama mama yako mzazi anavyopelekewa moto,siyo?
Lakini si unajua mshamba_hachekwi ?binti mshamba sana wewe
uko poa lakini?Lakini si unajua mshamba_hachekwi ?
Anaruka ska_rege la Dracula ya Lucky Dube wakati goma ni I wanna know ya Joe Thomas.Wizi kabisa.Mlie kwa mahaba,ila siyo kilio cha wizi sometimes unakuta mziki hauendani na tukio
Miaka ya 90 ndio unaona zamani sana! Kwa Mungu, miaka 1000 ni kama siku moja tu. Hivyo toka Yesu apae kwenda mbinguni ni sawa na kusema zimepita siku 2 tu na vipointi. Kwahiyo tunaposema Yesu Yuaja upesi uelewe hilo.Maneno hayo nimeanza kuyasikia toka miaka ya 90 tubu haraka yesu anakuja , walokole mnaonaga kila mtu anataka kuamini mnachokiamini🤔
Niko poa mkuu
Habari za kwa
Niko poa.vipi pande zawapi mtoto mzuriNiko poa mkuu
Habari za kwako
Thibitisha Mungu yupo kabla haujaenda mbali kwanza.Miaka ya 90 ndio unaona zamani sana! Kwa Mungu, miaka 1000 ni kama siku moja tu. Hivyo toka Yesu apae kwenda mbinguni ni sawa na kusema zimepita siku 2 tu na vipointi. Kwahiyo tunaposema Yesu Yuaja upesi uelewe hilo.
2 Petro 3:9:
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani kuwa amekawia. Bali huvumilia kwa ajili yenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote waifikie toba.
Wizi mtupuAnaruka ska_rege la Dracula ya Lucky Dube wakati goma ni I wanna know ya Joe Thomas.Wizi kabisa.
Kama hujaridhika na uthibitisho niliokupa, subiri siku inakuja kila jicho litamuona YesuThibitisha Mungu yupo kabla haujaenda mbali kwanza.
Hayo ni maneno ya kiimani tu ambayo dini zaidi ya 500 tofauti wanayo ambayo yapo tofauti tofauti , bado haujathibitisha uwepo wa Mungu zaidi ya kunipiga mikwara tu.Kama hujaridhika na uthibitisho niliokupa, subiri siku inakuja kila jicho litamuona Yesu