Wanawake huwa mna maana gani kusema mnaumia?

Hiyo "title" inaonesha wewe ni mzinzi, unatembea na wanawake wengi, vinginevyo badili "title" uulize: "mke wangu anaponiambia...ana maana gani?"
Kama unafanya uzinzi, tubu haraka. Yesu yuaja upesi, usije ukaikosa mbingu(Ufu 22:10-12)
Maneno hayo nimeanza kuyasikia toka miaka ya 90 tubu haraka yesu anakuja , walokole mnaonaga kila mtu anataka kuamini mnachokiamini🤔
 
Miaka ya 90 ndio unaona zamani sana! Kwa Mungu, miaka 1000 ni kama siku moja tu. Hivyo toka Yesu apae kwenda mbinguni ni sawa na kusema zimepita siku 2 tu na vipointi. Kwahiyo tunaposema Yesu Yuaja upesi uelewe hilo.
2 Petro 3:9:
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani kuwa amekawia. Bali huvumilia kwa ajili yenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote waifikie toba.
 
Thibitisha Mungu yupo kabla haujaenda mbali kwanza.
 
Kama hujaridhika na uthibitisho niliokupa, subiri siku inakuja kila jicho litamuona Yesu
Hayo ni maneno ya kiimani tu ambayo dini zaidi ya 500 tofauti wanayo ambayo yapo tofauti tofauti , bado haujathibitisha uwepo wa Mungu zaidi ya kunipiga mikwara tu.
 
Tangazo limekaa kitaalamu sana
Hongera sana
Ila usisshau kubandika stika ya Learner
 
Back
Top Bottom