Wanawake huwa wanapenda Wanaume wenye Mamlaka

Mkuu ukishaweka hivyo akilini mwako hakika utakimbizwa mpaka akili ikae Sawa.

Ukishamhofia kuwa Ni mrembo Sana nikiwa na misimamo nitamkosa hapo unafeli chief,mwanamke akikupenda hata akiwa mzur vipi atakusikiliza Tu trust me bro.

Siku moja napita karibu na saluni ya kike walikuwa wanazungumza Kwa sauti,alisikika mmoja akisema " mwanaume ukimpenda akikwambia hataki kitu Fulani unaacha" na huo ndio ukweli kabisa.

Be a man no matter what,ikiwezekana asepe akuache lkn utakutana na Yule ambaye atajua nafasi yako kama mwanaume
 
Write your reply... Tatizo wanaume wengi wa ckuiz wamekuwa walaini Sana sijui ndo kuwaogopa wanawake ama nini
 
Utasimamaje kama mwanaume wakati huna hela ila ilo lifanyake lazima mtu awe financial stable.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Write your reply... Tatizo wanaume wengi wa ckuiz wamekuwa walaini Sana sijui ndo kuwaogopa wanawake ama nini
Hawajiamini chief, nadhani kutongoza ni kazi Sana kiasi kwamba wanaogopa kuanza upya
 
Utasimamaje kama mwanaume wakati huna hela ila ilo lifanyake lazima mtu awe financial stable.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hao wote ambao wanamiliki wanawake Wana hela za kutosha?

Na unasemaje kuhusu wale ambao ndio wanahongwa na wanawake je hao nao Wana hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…