mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Familia zenu zipo salama?
Toka zamani till now, wale wanaume wanaojifanya ni 'maromantiki' mno na kujifanya wanatufundisha sisi wanaume wengine jinsi ya ku care wanawake, huadhibiwa kikatili sana na wanawake.
Mwisho huishia kwenye fedheha na aibu. Huwezi kutafuta cheap popolarity kwa kuwakandia wanaume wenzako na ukabaki safe. Hell no.
Kutwa kucha kututukana wanaume wenzao wakisema hatupo romantic na kuleta vi thread vyao vya masimango, wakitafuta cheap popularity kutoka kwa wanawake. Sisi tunasema sawaaa!
List ya wanaume walioadhibiwa kikatili sana na wanawake kwa kujifanya wanajua sana kujali kuliko wanaume wengine.
1. Tyrese
Sielezi mengi... Kutwa kucha analia mpaka anatoa kamasi, alijifanya much know na kuona dunia ameimaliza, alijiona yeye ndiye mwanaume pekee duniani anayejua kupenda. Sisi wengine aliona malofa. Ona alipoangukia sasa. Na iwe fundisho!.
2. Steve Harvey
Huyu bado yupo kwenye target. Ameshajaa kwenye mfumo. Atakipata anachokitafuta. Kutwa kutusimanga wanaume wengine akisema hatujui kupenda, sisi tunasema sawa, tumekubali hatujui kupenda.
3. Aboue
Kwa huyu sina mengi. Kila mmoja anajua alichokipata. Sina haja ya kuweka details nyingi. Amekuwa fundisho kwa wengine. Alichagua kujifunza a hard way.
4. M@Thanger mkantamishaJ1
Huyu naye alikipata alichokitafuta. Anagugumia maumivu. Naye alikuwa ni wale wale.
5. Yule mheshimiwa 'Watatu'.
Huyu aliwashwa kikatili mno. Alitutukana mno kule jukwaa la jamii akijinadi yeye ndiye anajua kupenda na sisi wengine maf.@rra tu. Tukam zoom tu. Akakipata alichokitafuta. Na iwe fundisho. Alitutukana mno, alitusimanga mno akitafuta cheap popularity. Hatimaye Hawa akamuwacha.
Hawa wote wanavuja damu mioyoni till this moment. Walitafuta cheap popularity kwa wanawake kwa kuwasimanga wanaume wenzao, kuwadhalilisha kwa maneno na kuwakejeli kwa kila namna. Wamepata waliyostahili.
Walikuwa na choices. Ila wao walichagua ku learn the hard ways.
List ni ndefu, na bado kuna list ya impending triumphs kwa nice guys wengine.
Stay tuned!
Huwezi kuwatukana na kuwadhalilisha wanaume wenzio halafu ubaki salama. Hell no!